Maajabu ya Mji wa Chato

Maajabu ya Mji wa Chato

hhahahaha hii habari kweli watu wa moro hawawez kukuelewa!hakuna mataa jaman! full ajali ..mfano hii irnga road,! hehehe kwahyo barabara ni mkeka mkuu!duh kweli wana ifakara na kule 'maliny'i na 'mbingu',kisaki' ngumu kukuelewa !acha wapambane na hali zao! na kweli majitu ya pande hizo wagumu sana kujenga! nimeishi sana Iringa.. nenda iringa vijijini unahesau nyumba za tembe! nenda shy,tabora,mwanza hehehehe full tembe!
kijana wa miaka 21 Iringa amejenga nyumba ya vyumba 3 na bati juu na solar juu! lakini kijana huyo hyo wa 21age wa Mwanza ana wake 2 na watoto 7! na bado anaishi home kwa wazaz!
ukiuliza unaambiwa ni MILA!(linachunga tu ngombe)

SALUTE WAHEHE!
Moshi hakuna mataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ukabila dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa-Tz bana, mtu akijenga kwao anasemwaaa, asipojenga anasemwaaa!!!

Lipi bora?

Bora tule wote, kujenga home ndo uwajibikaji! Viongozi wapuuzi na wabinafsi hawakumbuki kwao.

JPM, has done well. Wengine waige kwao. Nilipitaga jimbo la aliyekuwa waziri wa kilimo Eng Chiza huko Kakonko, pabayaaaaaa utafikiri ni njia ya kuelekea jalalani huku jamaa linaishi Dar! Nikapita jimbo la Lukuvi, nako hovyo tu....

Sasa lipi bora???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila Rais akijenga kwao kama hivi baada ya miaka 100 kila mkoa utakuwa umejengeka. Imagine Nyerere angejenga Butiama, Mwinyi angejenga kwao,Mkapa angeendeleza Mtwara,JK angeendeleza Chalinze tungekuwa na miji 5 mizuri plus iliojijenga yenyewe.
 
Kwaio miji ili iwe bora ni lazima viongozi wajenge kwao?
 
Back
Top Bottom