Maajabu ya mimba ya huyu mwanamke

Maajabu ya mimba ya huyu mwanamke

Kuna mtu mimba yake ilikuwa inapenda mabarafu (maji yaliyoganda)

Breakfast barafu
Lunch barafu
Dinner barafu

Inaonekana mimba ina mambo ya ajabu sana

Nasubiri kuona yangu itapenda nini

Kuna mtu mimba yake ilikuwa inapenda mabarafu (maji yaliyoganda)

Breakfast barafu
Lunch barafu
Dinner barafu

Inaonekana mimba ina mambo ya ajabu sana

Nasubiri kuona yangu itapenda nini
erhaba

Si ajabu huyo atazaa mlima kilimanjaro
 
Me nakula miwa mpaka usiku na nyama au maini ya kaangwe na kitunguu tu afu kisiive vizur naamka mpaka usiku sana kula na nalala na maji pembeni full ruti za toilet nalala nusu nusu unasikia tu mara teke mara ngumi ya kibofu lazima uamke tu nikishusha huyu kiumbe nitashukuru niko hoi kweli
raha akishakuja
 
mimi nilikuwa sipendi kuchelewa hata dakika moja ikizidi naanza kulia mpaka leo sielewi ilikuwa nini? nilikuwa nakula viporo vya ndizi nyama... ndizi ikipikwa leo siipendi lazima ilale asubuhi niamke nacho nishinde nacho na usiku nile hicho .. halafu usiku zipikwe zingine za kisho loh
 
mimi ni mwanaume sidhani kama ni nafasi ya kupitia hayo labda kama unamaanisha vingine btw stay safe.
Unaweza pitia pia, kuna ambao wakibeba taabu wanapata wanaume.
 
Mke wangu mjamzito, ila sasa
Natapika Mimi,
Kichefu chefu mimi,
Nilipenda sana karanga, ila sasa nazichukia kuliko chochote.
Sipendi wali,
Napenda chakula cha ndimu nyingi.
Nalamba chumvi na ndimu kama chizi.
Imefikia hatua mke wangu kaniletea dawa za kurudisha humu ya Kula na kaniletea dawa za vitamini.
Nateseka sana. Sitaki sikia habari za mimba.
Yaani ingwezekana hizi adha za mimba wakazipata wanaume wote wake zao wanapokuwa wajawazito ingependeza sana.
 
mi kwa siku nilikuwa nakula nyama aina tano
asbh supu ya mbuzi
saa sita chipsi kuku
saa tisa makange ya firigisi
usiku kitimoto ya kuchoma
kabla sijalala kichwa cha samaki!

SINA HAMU!
ZAENI TU MNAOZAA!
 
Habarini Wadau,

Leo asubuhi niliamka nikiwa na mood mbaya ila wakati nakunywa chai nikajikuta naanza kucheka sana na kila nikikumbuka najikuta nacheka tu hata kimoyoni.

Ni hivi nina Kaka yangu, ni mtu mzima tu na alishaoa na kuwa na mtoto mmoja na sasa mkewe ni mjamzito hivyo anatarajia mtoto wa pili.

Asubuhi nimempigia simu mama kumjulia hali, baada ya maongezi mafupi akaniambia kwa kilugha

"Hivi wewe huwezi kupiga nyumba rangi?"

Nikamwambia hapana mama, mara akaniambia

"sasa si ukaongee na kaka yako kuhusu huyo mpiga rangi?"

Akaongeza..."Nyie ni watu wazima sasa msinisumbue" akakata simu.

Ikabidi nimpigie kaka kujua kuna nini juu ya mpiga rangi.

Kumbe bana wiki mbili zilizopita alimleta mpiga rangi kwenye nyumba yake kwaajili ya kubadilisha rangi sebuleni kwake.

MAAJABU:

Mke wake (shemeji yangu) ambaye ni mjamzito aliipenda sana harufu ya ile rangi ya ukutani na kila mara alipenda kukaa sebuleni siku nzima tena karibu na ukuta kabla rangi haijakauka.

TATIZO LILIPOANZIA:

Mke wa brother alichukua namba ya simu ya fundi rangi kumbe akawa anamwambia mara kwa mara

"Fundi si uje kurudia rangi koti nyingine jamani" kwani nilikufukuza kwangu? na alikuwa akimkumbusha mara kwa mara na mume wake akaja kuona messages ila hakumuuliza chochote.

Sasa mtoto wake kachafua ukuta kwa kuchora chora ndio kaka kaja juu kuwa mke wake ndio kachafua kwa makusudi ili nyumba ipigwe rangi na fundi yule yule.

Jana alipomtembelea mama jana ndio akamwambia anahisi mke wake anamsaliti kwa kutembea na fundi rangi.

Sasa mama anachosema ni kwamba "Mimba" yake ndio imependa hiyo harufu hivyo kaka aache kulia lia.

Hivi Kweli mimba ya mwanamke inaweza kupenda harufu kali kama hiyo ya rangi na wakati inaletaga hadi mafua?

Najua mwanamke akiwa mjamzito anaweza kupenda harufu ya dagaa ama malimao.

Ila Rangi?

= inaleta
 
mi nikiwa na mimba nakuwa mbabe john cena akasome!
tisa kumi my last born nilikuwa napeeeenda mpira,ehheehehhe kombe la duni la 2014 nilikuwa najua mecho zote,wachezaji wote,makocha wote,magoliyote!nikifungwatimu nayipenda hakulaliki,naenda bar wanaoonyesha mpira nawekewa seat ya mbele kabisa!
sasa hiv hata ukiniambia makao makuu ya simba ni wapi naweza nikastruggle kukujibu!
 

Kwakweli nimecheka, shikamoo mimba.

Hii mitoto ingejua tu ilivyo taabu kuileta duniani ingeshika adabu zao.
Acha tu shost yangu... Mimba nyingine niliwapenda sana watu jamani... Kila mtu ninayemuona moyo wangu una cherish...


Nilijikuta naelewana na kupendana na kila mtu, sikutaka mtu aje halafu aondoke....
Nilijikuta nina marafiki kibaoo wake kwa waume..

The kid is now 9 years old...

Alivyo maarufu sasa...

Anavyopendwa na watu sasa... toka kakiwa kachanga.
 
Kweli kabisa wanawake wengi wajawazito huwa wana nyege za hali ya juu halafu Utamu wake sasa acha tu hadi natamani wife aendelee na hiyo mimba nizidi kufaidi wanaokaa mbali na wake zao au wachumba zao kisa mimba wasije kulaumu siku ukigundua mama kijacho wako anabanjuliwa nje maana wanakuaga na hamu sana, kaa karibu na mwenzio
Hapa si wote wengine habari ya kugegedwa ndo hakuna kabisaaa takii kusikia
 
Daaaah! Me Dada angu alikuwa anakuagiza kaninunulie chips sajusi unafika sajusi chips zimeisha naamua kufata sehem nyingne ile nafika nampta tu akizfungua ananambia hizi cyo za sajusi anatupa kuleee
Then wewe unaokota unakulaa
 
Kuna dada mmoja alichukia deodorant za wanaume wote wa kazini kwao, kila siku akija ofisini tu anaanza kutapika. Sasa utawaambia watu waache kutumia deodorant? Ilibidi aende likizo ya ugonjwa.
Wanawake mna mambo mkishakuwa wajawazito. Lakini ni hali ya muda tu, tunavumilia.
 
Acha tu shost yangu... Mimba nyingine niliwapenda sana watu jamani... Kila mtu ninayemuona moyo wangu una cherish...


Nilijikuta naelewana na kupendana na kila mtu, sikutaka mtu aje halafu aondoke....
Nilijikuta nina marafiki kibaoo wake kwa waume..

The kid is now 9 years old...

Alivyo maarufu sasa...

Anavyopendwa na watu sasa... toka kakiwa kachanga.
mimi was the opp.
NILIKUWA NAPENDWAaaaaaaaa jamani KAMA SUKARI NA HELA!
makuku na masamaki na firgisi nilikuwa nanunuliwa tu,mpk naisndikizwa clinic,uuuuwih watu wakikutana na magauni huko wanahisi yananitohsa napigiwa picha njoo ujaribu,nenda kwa fundi Fulani nimepeka kitenge kashone!
mwanangu is 2 now,nikiweka picha yake mahali inapata like 100/hour,chaaa
 
mi nikiwa na mimba nakuwa mbabe john cena akasome!
tisa kumi my last born nilikuwa napeeeenda mpira,ehheehehhe kombe la duni la 2014 nilikuwa najua mecho zote,wachezaji wote,makocha wote,magoliyote!nikifungwatimu nayipenda hakulaliki,naenda bar wanaoonyesha mpira nawekewa seat ya mbele kabisa!
sasa hiv hata ukiniambia makao makuu ya simba ni wapi naweza nikastruggle kukujibu!
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi....

Nimecheka mbele za watu mpaka wananishangaa.
 
mimi was the opp.
NILIKUWA NAPENDWAaaaaaaaa jamani KAMA SUKARI NA HELA!
makuku na masamaki na firgisi nilikuwa nanunuliwa tu,mpk naisndikizwa clinic,uuuuwih watu wakikutana na magauni huko wanahisi yananitohsa napigiwa picha njoo ujaribu,nenda kwa fundi Fulani nimepeka kitenge kashone!
mwanangu is 2 now,nikiweka picha yake mahali inapata like 100/hour,chaaa
Hahahaha Hahahaha...

Kumbe tabia za watu zinaanza toka wakiwa mimba.....
 
Kaka naye mmbea jamani khaa!!!! Vitu vidogo hivyo ashamwambia mama, na mama naye bila aibu anaongea kwa umbea na kijana wake loh!!!!!!
 
Back
Top Bottom