Maajabu ya mimba ya huyu mwanamke

Maajabu ya mimba ya huyu mwanamke

Me nakula miwa mpaka usiku na nyama au maini ya kaangwe na kitunguu tu afu kisiive vizur naamka mpaka usiku sana kula na nalala na maji pembeni full ruti za toilet nalala nusu nusu unasikia tu mara teke mara ngumi ya kibofu lazima uamke tu nikishusha huyu kiumbe nitashukuru niko hoi kweli
 
Kweli kabisa wanawake wengi wajawazito huwa wana nyege za hali ya juu halafu Utamu wake sasa acha tu hadi natamani wife aendelee na hiyo mimba nizidi kufaidi wanaokaa mbali na wake zao au wachumba zao kisa mimba wasije kulaumu siku ukigundua mama kijacho wako anabanjuliwa nje maana wanakuaga na hamu sana, kaa karibu na mwenzio
Duh umenikumbusha mbali sana, mimba yangu ilinipeleka sana, nilikuwa napenda sana kufanya mapenzi lkn mume wangu alikuwa hataki kabisa yaani ikawa inafikia stage nahisi ananisaliti!!!! Lkn namshukuru mungu mimi sikuwahi msaliti nilijua ni kwanini ?jamani mimba ni kibokooooo
 
umeona eeenh. Waache baba vijacho wakae mbali na mama vijacho wao, wasituletee kesi humu tu. Wanaume wengine hawalitambui hili ndo waelewe sasa. Mwenzio akikuambia huwa ana hamu na dyudyu usicheze mbali mpe kitu mwenzio nyege zikimzidia halafu unamletea mapozi achagui wa kumkuna ilimradi hamu yake iishe tu. Kazi kwenu wanaume mnaojua wake au wachumba zenu wajawazito
 
Duh Umenikumbusha mbaaaali sana, bado kidogo niwe mvuta siagara sports maana mimba ya mwenzangu ilipenda sports nikawa nanunua nazificha home, akikumbuka tuu tunawasha napuliza pafu hewani anafurahia harufu ya moshi wake!!
 
Kuna mtu mimba yake ilikuwa inapenda mabarafu (maji yaliyoganda)

Breakfast barafu
Lunch barafu
Dinner barafu

Inaonekana mimba ina mambo ya ajabu sana

Nasubiri kuona yangu itapenda nini
Mara hii umesahau nilichokuahidi wewe Joanah?
 
Kuna mtu mimba yake ilikuwa inapenda mabarafu (maji yaliyoganda)

Breakfast barafu
Lunch barafu
Dinner barafu

Inaonekana mimba ina mambo ya ajabu sana

Nasubiri kuona yangu itapenda nini
Usiombe ipende Bangi mkuuu....ni hatari tupu yani
 
Mke wa rafiki yangu alikuwa ananipenda sana anapenda nikae nae mda wote tunaenda sokoni tunapiga stori poa tu akija mshkaji tu hali ya hewa ina change mpaka jamaa akahisi namchekechea mkewe ila nikamtoa hofu na wengine wengine wakasaidia ila bado hakuwa na imani sana
 
Hivi Kweli mimba ya mwanamke inaweza kupenda harufu kali kama hiyo ya rangi na wakati inaletaga hadi mafua?
Usiitanie mimba wewe..

Mimi niliipenda harufu ya sabuni ya MEDISOFT basi nikawa nanunua udongo wangu naweka kwenye plastic bag, namega kipande cha sabuni nachanganya na ule udongo nafunga ule mfuko ili uchanganyike vizuri na harufu ya ile sabuni, then ndo nakula udongo wangu wenye flavor ya MEDISOFT... Vipande vingine vya sabuni niliweka kwenye hand bag yangu ili tu nisii miss ile harufu ya sabuni...

Watoto mmetutesa nyie...

Halafu kutwa kuchwa kutuponda huku jf..

Kina mama waheshimiwe na watu wote.
 
Kuna mtu mimba yake ilikuwa inapenda mabarafu (maji yaliyoganda)

Breakfast barafu
Lunch barafu
Dinner barafu

Inaonekana mimba ina mambo ya ajabu sana

Nasubiri kuona yangu itapenda nini
Yako itaisoma namba
 
Usiitanie mimba wewe..

Mimi niliipenda harufu ya sabuni ya MEDISOFT basi nikawa nanunua udongo wangu naweka kwenye plastic bag, namega kipande cha sabuni nachanganya na ule udongo nafunga ule mfuko ili uchanganyike vizuri na harufu ya ile sabuni, then ndo nakula udongo wangu wenye flavor ya MEDISOFT... Vipande vingine vya sabuni niliweka kwenye hand bag yangu ili tu nisii miss ile harufu ya sabuni...

Watoto mmetutesa nyie...

Halafu kutwa kuchwa kutuponda huku jf..

Kina mama waheshimiwe na watu wote.

Kwakweli nimecheka, shikamoo mimba.

Hii mitoto ingejua tu ilivyo taabu kuileta duniani ingeshika adabu zao.
 
Mi nilishangaa huku eti kuna wengine wanakula mavi ya kuku! Mimba hizi jamani!!!
 
Back
Top Bottom