Maajabu ya mimba ya huyu mwanamke

Maajabu ya mimba ya huyu mwanamke

Unasema nini wewe watu wanapenda harufu ya mavi itakua rangi! Kuna watu wakishika mimba chakula wanakulia kwenye mlango wa choo , ni basi tu wanaume hamtuheshimu ila tumewatoa Mbaali sana nyie "heshima kwa mama"
 
hakuna lolote kujidejesha tu wadogo zangu wawili walitiwa mimba home tulikuja gundua siku ya kujifungua imefika hakuna cha rang dagaa wala maembe
 
Habarini Wadau,

Leo asubuhi niliamka nikiwa na mood mbaya ila wakati nakunywa chai nikajikuta naanza kucheka sana na kila nikikumbuka najikuta nacheka tu hata kimoyoni.

Ni hivi nina Kaka yangu, ni mtu mzima tu na alishaoa na kuwa na mtoto mmoja na sasa mkewe ni mjamzito hivyo anatarajia mtoto wa pili.

Asubuhi nimempigia simu mama kumjulia hali, baada ya maongezi mafupi akaniambia kwa kilugha

"Hivi wewe huwezi kupiga nyumba rangi?"

Nikamwambia hapana mama, mara akaniambia

"sasa si ukaongee na kaka yako kuhusu huyo mpiga rangi?"

Akaongeza..."Nyie ni watu wazima sasa msinisumbue" akakata simu.

Ikabidi nimpigie kaka kujua kuna nini juu ya mpiga rangi.

Kumbe bana wiki mbili zilizopita alimleta mpiga rangi kwenye nyumba yake kwaajili ya kubadilisha rangi sebuleni kwake.

MAAJABU:

Mke wake (shemeji yangu) ambaye ni mjamzito aliipenda sana harufu ya ile rangi ya ukutani na kila mara alipenda kukaa sebuleni siku nzima tena karibu na ukuta kabla rangi haijakauka.

TATIZO LILIPOANZIA:

Mke wa brother alichukua namba ya simu ya fundi rangi kumbe akawa anamwambia mara kwa mara

"Fundi si uje kurudia rangi koti nyingine jamani" kwani nilikufukuza kwangu? na alikuwa akimkumbusha mara kwa mara na mume wake akaja kuona messages ila hakumuuliza chochote.

Sasa mtoto wake kachafua ukuta kwa kuchora chora ndio kaka kaja juu kuwa mke wake ndio kachafua kwa makusudi ili nyumba ipigwe rangi na fundi yule yule.

Jana alipomtembelea mama jana ndio akamwambia anahisi mke wake anamsaliti kwa kutembea na fundi rangi.

Sasa mama anachosema ni kwamba "Mimba" yake ndio imependa hiyo harufu hivyo kaka aache kulia lia.

Hivi Kweli mimba ya mwanamke inaweza kupenda harufu kali kama hiyo ya rangi na wakati inaletaga hadi mafua?

Najua mwanamke akiwa mjamzito anaweza kupenda harufu ya dagaa ama malimao.

Ila Rangi?
Oyooooo rangi iyooooo
 
Bora Huyo Anaependa Harufu Ya Rangi, Kuna Jirani Yangu Alikuwa Anapenda Harufu Ya Viatu Vichafu.
 
Shauri zenu na ujinga wenu.Wanawake wengi wakiwa wajawazito kule bondeni(Dodoma makao makuu)huwa wanawashwa sana(kuwa na nyege nyingi),wengi hua wanapenda muda wote wawe wanaliwa tu.Na kuna wanaume washamba wakiona tumbo linazidi kutuna huwasusa wake zao,wengine huwasafirisha hadi kwao wakae huko hadi wajifungue.Sasa ukiona mwanamke anamwita fundi rangi aje kurudia kupaka rangi ujue anamwita aje kupaka huko Dodoma makao makuu na watakuwawanaelewana vizuri.Wapo wanaume ambao ni wataalamu kwa wanawake waja wazito,akimwona tu anajua huyu anahitaji kuliwa.Sasa we ndugu yangu kama umemsusa mkeo mjamzito subiri wenzako wamtoe nyege.
 
Nimezidi kujifunza mengi mno
 
Shauri zenu na ujinga wenu.Wanawake wengi wakiwa wajawazito kule bondeni(Dodoma makao makuu)huwa wanawashwa sana(kuwa na nyege nyingi),wengi hua wanapenda muda wote wewe wanaliwa tu.Na kuna wanaume washamba wakiona tumbo linazidi kutuna huwasusa wake zao,wengine huwasafirisha hadi kwao wakae huko hadi wajifungue.Sasa ukiona mwanamke anamwita fundi rangi aje kurudia kupaka rangi ujue anamwita aje kupaka huko Dodoma makao makuu wanaelewana vizuri.Wapo wanaume ambao ni wataalamu kwa wanawake waja wazito,akimwona tu anajua huyu anahitaji kuliwa.Sasa we ndugu yangu kama umemsusa mkeo mjamzito subiri wenzako wamtoe nyege.
Kweli kabisa wanawake wengi wajawazito huwa wana nyege za hali ya juu halafu Utamu wake sasa acha tu hadi natamani wife aendelee na hiyo mimba nizidi kufaidi wanaokaa mbali na wake zao au wachumba zao kisa mimba wasije kulaumu siku ukigundua mama kijacho wako anabanjuliwa nje maana wanakuaga na hamu sana, kaa karibu na mwenzio
 
hakuna lolote kujidejesha tu wadogo zangu wawili walitiwa mimba home tulikuja gundua siku ya kujifungua imefika hakuna cha rang dagaa wala maembe
Tatizo la wadogo zako walitiwa mimba na wahuni hivyo watoto waliowabeba walikua nunda tayari kutokana na sperm za wala ndumu ndo maana mkaja jua siku ya kujifungua, lakini hizi mimba za ndani ya ndoa hizi we zisikie tu zenyewe huingia kwa utamu na kulelewa kwa mideko ya kila aina
Omba Mungu uipate ya ndani ya ndoa,utaniambia
 
Kuna mtu mimba yake ilikuwa inapenda mabarafu (maji yaliyoganda)

Breakfast barafu
Lunch barafu
Dinner barafu

Inaonekana mimba ina mambo ya ajabu sana

Nasubiri kuona yangu itapenda nini
Lini?!
 
Nilipendaga nanasi msimu ndo yanaoteshwa yaan kulipata ni sehemu ya nauli ya boda boda 5000 na ukipata hicho kinanasi kidogo kichungu ni 3500 ila natuma daily ndo msosi sili chochote na likija nikipande kimoja hamu inaisha. Mungu tuangalie upya tunateseka jaman.
 
Tatizo la wadogo zako walitiwa mimba na wahuni hivyo watoto waliowabeba walikua nunda tayari kutokana na sperm za wala ndumu ndo maana mkaja jua siku ya kujifungua, lakini hizi mimba za ndani ya ndoa hizi we zisikie tu zenyewe huingia kwa utamu na kulelewa kwa mideko ya kila aina
Omba Mungu uipate ya ndani ya ndoa,utaniambia
ni kujidekesha tu period.
 
no kujidekesha tu sababu wanawake wanajua wanasikilizwa mke wangu asijekuniambia upuuzi in the name of mimba
 
Daaaah! Me Dada angu alikuwa anakuagiza kaninunulie chips sajusi unafika sajusi chips zimeisha naamua kufata sehem nyingne ile nafika nampta tu akizfungua ananambia hizi cyo za sajusi anatupa kuleee
 
Back
Top Bottom