Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

Status
Not open for further replies.
Sasa kinakuuma nini? Kama hali ni tete nenda kawalilie wabunge wako wa CCM.
Hali tete nini? Huwa hamtakiwi huyo Mikengeza wenu akosolewe! Lini ulimsikia Mbowe nazungumzia gharama za maisha zaidi ya kuzungumzia mambo yake ya sasa uchwara!
Wewe unadhani hao uliowataja wana majibu ya kero zetu?

Tuanze na Katiba mpya kwanza
Katiba mpya sio cha kula mzee! Ndo maana hata Mbowe katina yake ya chama haifati! Mwenyekiti zaidi ya miaka 15! Katiba bila uzalendo ni makaratasi yenye waandishi tu yasiyo na maana!
 
Hali tete nini? Huwa hamtakiwi huyo Mikengeza wenu akosolewe! Link ulimsikia Mbowe nazungumzia gharama za maisha zaidi ya kuzungumzia mambo yake ya sasa uchwara!

Katiba mpya sio cha kula mzee! Ndo maana hata Mbowe katina yake ya chama haifati! Mwenyekiti zaidi ya miaka 15! Katina bila uzalendo ni makaratasi yenye waandishi tu yasiyo na maana!
Kwanza umerudia neno KATINA zaidi ya mara mbili na sielewi unamaanisha nini.

Pili kuhusu uzalendo fahamu kuwa mtu hazaliwi nao
 
Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana:

Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia!

Mfano ni Zitto Kabwe kipindi cha JPM kila mara aliitisha vikao na waandishi wa habari akikosoa uongozi wa Magufuli hususani kwenye utawala bora, uchumi na mikopo, lakini leo hii kwenye utawala hui wa mama Samia Zitto huwezi kumsikia!

Wengine wanasema Zitto ni mdini sana, wengine wanasema kalambishwa asali na pia alikuwa na chuki na Magufuli baada ya kumtosa licha ya kujitutumua kubaki bungeni kwenye hotuba yake ya ufunguzi novemba 2015 baada ya CHADEMA kususia hotuba yake:

Mbowe mwenye kitu wa CHADEMA naye alikuwa mkosoaji mkubwa sana wa utawala wa Magufuli na hususani akiendeshwa na chuki yake binafsi ya ukabila na kiukanda waliyonayo viongozi mengi wa CHADEMA lakini cha kushangaza tokea atoke gerezani hakuna anachoshauri wala kukosoa serkali picha ya maisha kupanda, Chini ya kapeti Mwamba Makamba asali maisha yanaendelea kamwachia Heche anajitutumua!

Fatma Karume naye ni wale wale blahblah za hali na mambo mengine ya kutetea hali za ushoga na mambo yao binafsi ya uanaharakati pasipo kujali masrahi ya wananchi zinaendelea!

Huwezi kumuona huyu Bibi naweza kumwita akimtetea mama ntilie au mama aliyeko kijijini huko,Samia kaingia madarakani kwa vile ni mzenji wenzake kimya kabisa kana kwamba mambo yako sawa mtaani!

Wananchi lazima waamke kutegemea wanasiasa uchwara kama hawa ni kupoteza mda maana wao kikubwa washibe hakuna kingine!
Viongozi walioko serikalini? Haswa wabunge wa ccm wanafanya nini, mawaziri wanafanya nini?
Wao hawaoni hali ilivyo?
Mpaka wapinzani waseme?
 
Huu unaweza ukawa Uzi Wa
ishirini kuwaita hao jamaa ila
wamegoma. Wacha tuache.
Mange nae yuko bize na tupu
za watu !!
Mangi anakwambia habari za udaku ndio zinalipa kwamba sasa hivi anapata hela ambazo hakutegemea kwa sababu ya habari za udaku, sasa hivi hata ukimpelekea taarifa za ufisadi na ushahidi juu anakwambia mpelekee Milady Ayo.
 
Wewe mtoa hoja umepigania nini kuiletea nchi hii unafuu kwa raia wake, huu ni uzuzu mwingine Kuja kujificha huku na I'd fake, uoga wako na kuwafanya wanaume wengine wakupiganie ni upumbavu at it's best, toka mtaani na pigana kama unaona haki yako imeminywa na next time acha kutuletea mada za kinafiki, Mr.Mbowe amefanya mengi kukupigania kunguru wewe sasa jiulize wewe umefanya nini?
Kama huna cha kuchangia kaa kimya
 
Mtu kwa hasira anakwambia hadi ukazikwe na huyo Magufuli, sasa unajiuliza zile hasira zilikuwa ni za kuchukizwa tu na uongozi mbovu wa Magufuli au zilikuwa hasira zilizo sababishwa na masilahi binafsi?

Sasa mtu ambaye ana uchungu na nchi hadi akaweza kumuongelea vibaya marehemu kwa sababu alikuwa kiongozi ila ndio leo anashindwa kumkosoa kiongozi aliye hai.
 
Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana.

Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia!

Mfano ni Zitto Kabwe kipindi cha JPM kila mara aliitisha vikao na waandishi wa habari akikosoa uongozi wa Magufuli hususani kwenye utawala bora, uchumi na mikopo, lakini leo hii kwenye utawala hui wa mama Samia Zitto huwezi kumsikia!

Wengine wanasema Zitto ni mdini sana, wengine wanasema kalambishwa asali na pia alikuwa na chuki na Magufuli baada ya kumtosa licha ya kujitutumua kubaki bungeni kwenye hotuba yake ya ufunguzi novemba 2015 baada ya CHADEMA kususia hotuba yake.

Mbowe mwenye kitu wa CHADEMA naye alikuwa mkosoaji mkubwa sana wa utawala wa Magufuli na hususani akiendeshwa na chuki yake binafsi ya ukabila na kiukanda waliyonayo viongozi mengi wa CHADEMA lakini cha kushangaza tokea atoke gerezani hakuna anachoshauri wala kukosoa serkali picha ya maisha kupanda, Chini ya kapeti Mwamba Makamba asali maisha yanaendelea kamwachia Heche anajitutumua!

Fatma Karume naye ni wale wale blahblah za hali na mambo mengine ya kutetea hali za ushoga na mambo yao binafsi ya uanaharakati pasipo kujali masrahi ya wananchi zinaendelea!

Huwezi kumuona huyu Bibi naweza kumwita akimtetea mama ntilie au mama aliyeko kijijini huko,Samia kaingia madarakani kwa vile ni mzenji wenzake kimya kabisa kana kwamba mambo yako sawa mtaani!

Wananchi lazima waamke kutegemea wanasiasa uchwara kama hawa ni kupoteza mda maana wao kikubwa washibe hakuna kingine!
Wakiongea tunawazodoa sio wazalendo wanatumiwa na mabrberu, wakikaa kimya wamekamba asali. Mimi naona wakae kimya tu maana wanajua gharama ya kile wanachokipigania. Kama kweli wanelambishwa asali wacha wafurahie maana wamepitia magumu mengi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom