Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

Status
Not open for further replies.
Sasa kinakuuma nini? Kama hali ni tete nenda kawalilie wabunge wako wa CCM.
Hali tete nini? Huwa hamtakiwi huyo Mikengeza wenu akosolewe! Lini ulimsikia Mbowe nazungumzia gharama za maisha zaidi ya kuzungumzia mambo yake ya sasa uchwara!
Wewe unadhani hao uliowataja wana majibu ya kero zetu?

Tuanze na Katiba mpya kwanza
Katiba mpya sio cha kula mzee! Ndo maana hata Mbowe katina yake ya chama haifati! Mwenyekiti zaidi ya miaka 15! Katiba bila uzalendo ni makaratasi yenye waandishi tu yasiyo na maana!
 
Kwanza umerudia neno KATINA zaidi ya mara mbili na sielewi unamaanisha nini.

Pili kuhusu uzalendo fahamu kuwa mtu hazaliwi nao
 
Viongozi walioko serikalini? Haswa wabunge wa ccm wanafanya nini, mawaziri wanafanya nini?
Wao hawaoni hali ilivyo?
Mpaka wapinzani waseme?
 
Huu unaweza ukawa Uzi Wa
ishirini kuwaita hao jamaa ila
wamegoma. Wacha tuache.
Mange nae yuko bize na tupu
za watu !!
Mangi anakwambia habari za udaku ndio zinalipa kwamba sasa hivi anapata hela ambazo hakutegemea kwa sababu ya habari za udaku, sasa hivi hata ukimpelekea taarifa za ufisadi na ushahidi juu anakwambia mpelekee Milady Ayo.
 
Kama huna cha kuchangia kaa kimya
 
Mtu kwa hasira anakwambia hadi ukazikwe na huyo Magufuli, sasa unajiuliza zile hasira zilikuwa ni za kuchukizwa tu na uongozi mbovu wa Magufuli au zilikuwa hasira zilizo sababishwa na masilahi binafsi?

Sasa mtu ambaye ana uchungu na nchi hadi akaweza kumuongelea vibaya marehemu kwa sababu alikuwa kiongozi ila ndio leo anashindwa kumkosoa kiongozi aliye hai.
 
Wakiongea tunawazodoa sio wazalendo wanatumiwa na mabrberu, wakikaa kimya wamekamba asali. Mimi naona wakae kimya tu maana wanajua gharama ya kile wanachokipigania. Kama kweli wanelambishwa asali wacha wafurahie maana wamepitia magumu mengi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…