Maajabu ya kufa na kuzaliwa

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Wadau nimejalibu kufuatilia na kufuatiliana masuala ya kufa na kuzaliwa

KUZALIWA
mana kwa takwimu mbalimbali inaonyesha watu wengi hujifungua hasa nyakati za usiku kuanzia mida ya kumi jioni na kuendelea mpaka saa nne asubuhi kwa mida ya mchana ni nadra sana

KUFA/KUKATA ROHO.KUAGA DUNIA
Watu walio wengi ambao husumbuliwa na maradhi mbalimbali nao huanza kufa kuanzia nyakati za jioni,usiku mpaka mida ya saa tano asubuh na kama itatokea kufa mchana ni wachache sana

Ivi hiyo mida inauhusiano gani na hayo matukio mawili mana watu hawazaliwi mchana na wala hawaagi dunia mida ya mchana?
Nb.hapo hatujazungumzia ajali
 
Mkuu kuna dada alizaa mtoto muda wa mchana labda unaweza nifafanulia kuna uzuri gani na ubaya gani?
 
Binafsi nimeambiwa na mama yangu kuwa nilizaliwa saa 8:45 mchana,hivyo tuliozaliwa mchana tupo tena wengi sana,kufa sijui nitakufa muda gani.Lakini vilevile wapo wengi sana wanaokufa mchana mfano mdogo ni waziri wetu mkuu aliyekuwa safarini akitokea Dodoma.Kwa hiyo matukio yote mawili ninaona kama ni sehemu tu ya maisha ambapo wengine wanakuwa day shift na wengine wanakuwa night shift..
 
Nafikiri umesahau kwamba hata kuingia au kutunga mimba mara nyingi ni usiku....:israel:

Wadau nimejalibu kufuatilia na kufuatiliana masuala ya kufa na kuzaliwa

KUZALIWA
mana kwa takwimu mbalimbali inaonyesha watu wengi hujifungua hasa nyakati za usiku kuanzia mida ya kumi jioni na kuendelea mpaka saa nne asubuhi kwa mida ya mchana ni nadra sana

KUFA/KUKATA ROHO.KUAGA DUNIA
Watu walio wengi ambao husumbuliwa na maradhi mbalimbali nao huanza kufa kuanzia nyakati za jioni,usiku mpaka mida ya saa tano asubuh na kama itatokea kufa mchana ni wachache sana

Ivi hiyo mida inauhusiano gani na hayo matukio mawili mana watu hawazaliwi mchana na wala hawaagi dunia mida ya mchana?
Nb.hapo hatujazungumzia ajali
 
Mala nyingi mimba zinatungwa usiku so miezi tisa ya mimba huanzia pale wanaposhiriki tendo la ndoa,ili iwe miezi tisa kamili tunaweza kuhesabu masaa tangu kutungwa mimba mpaka kuzaliwa.
 
that not true ukisema to be absent from this body means there is another body or something else apart frm this which is nat true

.. and who are you? Body, Soul, Spirit, or non of that? Can you explain to me with empirical facts. .... When someone dies, what exactly is happening?
 
die means not working ever so what happen is all organs stop working and loss of all evidence of life after that no one knows what fallow as far as i know chemical change take place,i think you get my point M Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
die means not working ever so what happen is all organs stop working and loss of all evidence of life after that no one knows what fallow as far as i know chemical change take place,i think you get my point M Mkwawa

Die means to cease to live;undergo the complete and permanent cessation of all vital functions;become dead. Now what is this that "cease" to live and/or "become" dead?
 
Yesu atakuwa alizaliwa usiku, maana walitafuta gesti walale lakini zikawa zimejaa, na kufufuka ni alfajiri kama sikosei

Hii ndo shida ya watu wanafikili kwa masabuli yaani ww hata babako nafikili humjui na hata mamako atakua hakujui na ww humjui maana huyo unaemwita mamako alikuiba na hata mamako alikuzaa kwa bahati mbaya ndo maana akakutupa chooni mwana izaya mkubwa weeee....
 
.. and who are you? Body, Soul, Spirit, or non of that? Can you explain to me with empirical facts. .... When someone dies, what exactly is happening?

sasa mkuu hapo kwenye bold ataweza kweli kukueleza kwa empirical fact au unamtafuta mwenzio maneno kwikwiwkwiiiii
 
Hii ndo shida ya watu wanafikili kwa masabuli yaani ww hata babako nafikili humjui na hata mamako atakua hakujui na ww humjui maana huyo unaemwita mamako alikuiba na hata mamako alikuzaa kwa bahati mbaya ndo maana akakutupa chooni mwana izaya mkubwa weeee....
ni kwanini umtukane huyu jamaa namna hiyo kwani amekosea nini jamani?aliyosema ni kweli,,,,so offensive
 
Back
Top Bottom