PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,724
Mleta mada ameongea jambo lenye fact kubwa.
Uzazi na vifo vingi hutokea usiku tusijifanye hatujui.
Hata wanaojaribu kuleta ushahidi wa majina ya watu wanaishia kutaja majina ya Sokoine na St Paka mweusi, no more! Ha ha haaa!
Mimi nadhani kwa kawaida usiku mwili huwa umeralax na na kwa mtu mgonjwa ni rahisi sn kupotelea usingizini, tofauti na mchana ambapo at least wanakuwa active na kujisustain!
Kuzaliwa usiku ni matter ya saikolojia zaidi ambapo mzazi angependa azae usiku kwa issue za privacy! Thats me!