Maajabu ya kufa na kuzaliwa

Kila wazo ni sahihi kulingana na imani na kinavotetewa,usimwite mtu mpumbavu kwa mawazo yake,jaribu kuyaheshimu au upinge kwa hoja yenye kuuonyesha hoja yako uiaminio ili uwe umemfundisha na siyo kumvunja moyo kwa kutukana

It is not true. Every thought is not correct/good, some thoughts are diabolic and can not be good even if there are grounds to support such fiendish myth.
 
Kila wazo ni sahihi kulingana na imani na kinavotetewa,usimwite mtu mpumbavu kwa mawazo yake,jaribu kuyaheshimu au upinge kwa hoja yenye kuuonyesha hoja yako uiaminio ili uwe umemfundisha na siyo kumvunja moyo kwa kutukana
Mtu anajipinda kukueleza kuwa Tanzania ipo ulaya... Unamuangalia anavyotokwa povu kuelezea... kisha utamwitaje vile eeenh?
 
mleta uzi una umri gani ndugu yangu samahani lakini,, wengi wenye mawazo kama yako ni vijana damu changa wasioona hofu wala dalili za kuchoka kwa mwili na maisha bado matamu kama uko hivyo jipange zaidi sidhani kama unaweza badilisha asili ya binadamu yaani kwanza kuzaliwa, mwisho kufa, haijalishi uko imara kiwango gani kiakiri, mwili utachoka mwishowe utakufa tuu uliza wabishi wote wa kuishi utajua
 
ila kuna dada yangu mmoja aliniambia kuwa muda unaobeba mimba ndo muda utakaojifungua,. kama mimba imeingia usiku basi utajifungua exactly muda uleule, thats why watoto wengi huzaliwa usiku coz ndo muda wanaotengenezwa, kuhusu kufa kwa kweli sijui, siri ya kifo haina ubiologia wala usayansi wowote, hata malaika hawaijui ila Mungu pekee,. ni rahisi kupanga uzazi lakini umauti haupangi ndivyo ilivyo hata ugumu katika kuutabiri,..
 
Mimi nijuavyo kuzaliwa na kufa yote ni mipango ya Mungu.kila dakika haijalishi ni majira ya asbh,Mchana,jioni au usiku kuna mtoto anazaliwa sehemu Fulani duniani vivyo hivyo na kufa.hili ni fumbo la Mwenyezi Mungu kwetu sisi wanadamu.kwahiyo kusema watoto wanazaliwa usiku zaidi mi nitakataa kwani mimi mimba inatunga usiku na watoto wangu wote nimejifungua jua linawaka.na tulikuwa wengi tu.
 
Akiwa na hoja zenye mashiko sawa,ila ashindwe kuthibitisha na tunamtafutia jina sasa
Mtu anajipinda kukueleza kuwa Tanzania ipo ulaya... Unamuangalia anavyotokwa povu kuelezea... kisha utamwitaje vile eeenh?
 
Mimi nijuavyo kuzaliwa na kufa yote ni mipango ya Mungu.kila dakika haijalishi ni majira ya asbh,Mchana,jioni au usiku kuna mtoto anazaliwa sehemu Fulani duniani vivyo hivyo na kufa.hili ni fumbo la Mwenyezi Mungu kwetu sisi wanadamu.kwahiyo kusema watoto wanazaliwa usiku zaidi mi nitakataa kwani mimi mimba inatunga usiku na watoto wangu wote nimejifungua jua linawaka.na tulikuwa wengi tu.

ahsante kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom