Maajabu ya kijiji cha llubengela-ziwa Tanganyika Kigoma

Ushaingiza udini tayari,hicho Kijiji asilimia 98% ni Wakristo tena Wakatoliki. Kinachogopwa ni ndumba tuu sio kingine. Vipi kuhusu Zanzibar mbona wizi upo mwingi tuu?
Ndiyo zake huyo. Anaambiwa Wakristo yeye kang'ang'ana ni Waislamu sijui ilo iweje.
 
Wadau kijij iki kinapatikana kusini mwa mkoa Wa kigoma uliopo kanda ya ziwa,kijij iki ni kidogo sana,kina wakazi wasiozidi 2000, kijiji iki hakuna mwizi, kila baada ya nyumba mbili kuna mchawi,ukiwaangalia mikononi wamevaa ma bangili ya shaba,asili yao ni wakongo karibu wote, hakuna umeme, nishati inayotumika ni kuni,mkaa, sola pawa, watu wanaacha vitu nje,maduka wazi na hakuna anayethubutu kuiba,shughuli yao kubwa ya uchumi ni uvuvi, sasa kubwa kuliko ambayo imenifanya nicharaze Uzi huu ni kwamba Luna MAMBA ambaye anaonekana Mara kwa Mara apa kijijini na inasadikika ni MAMBA wa MTU , yupo apo kwa ajili ya kusaidia kazi za uvuvi za uyo MTU,watu wanafanya shughuli zao kama kawaida na akamati mtu, Mimi ni mgeni mahali apa na nimemshuhudia kwa macho yangu uyo mamba na nikajaribu kutoa wazo auwawe lakin nikaambiwa na wazee wa kijiji kuwa nisirudie kusema ivyo,nikakaa zangu kmya coz apa nimekuja kufanya kazi ya muda mfupi AF nitaondoka kurejea mkoani, kigoma kuna mambo
Apo - hapo
Uyu - huyu
Jifunze kiswahili kwa atua (hatua).
 
Huo ukanda wote wa ziwa Tanganyika hapafai, kuna wachawi balaa

Kuna kijiji kinaitwa KALEMA, pale kulikua na mamba mkubwa sana, alikua anatafuna watu balaa

Siku ameuawa walikuta pale tumboni ameandikwa kwa maandishi makubwa BADO WEWE.
Duh ha ha ha ha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom