Maajabu ya kijiji cha llubengela-ziwa Tanganyika Kigoma

Kiuchumi inakua kwa kasi now days kutokana na kuwepo kwa barabara nzur miaka ya iv karibuni, uwez fananisha na mikoa kama tabora,singida,Lindi, rukwa, baada ya miaka mitano kigoma ifafika levo za mikoa kama iringa, kuna mvua za kutosha,vyakula vingi, tatizo ni ELIMU & MIUNDOMBINU hususani barabara za kuingia na kutoka kwenda mikoani
Asante sana, umesema kweli bila elimu kigoma itazidi baki nyuma,
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom