Maajabu ya dunià kutoka Tanzania

Maajabu ya dunià kutoka Tanzania

Nyie mnapigiagwa kura? sasa kwa taarifa yako polepole alitusanua jinsi mnavyotumia particular zetu kwenye nida na kila kitu yaani nyinyi hata marehemu anawapigia kura! na hata tukienda 2030 uchaguzi wa wale wote mlowazika kwa pamoja bado watapiga kura kwenu. Shame on you!
Sio kila kinachosemwa ndugu basi ukibebe ndugu,ukifanya hivyo utakua umekosa utashi wa kutafakari mambo
 
General elections in Africa
Maajabu ya dunia kutoka Tanzania
Data By Liberatus Mwang'ombe
Registered voters:

Zambia – 8.7 million
Kenya – 22.1 million
Tanzania – 37.6 million

Counting speed:

Tanzania “counted” 32 million votes in two days… with no internet and no electricity.

Kenya needed five days for 14 million votes, with internet and power.

Zambia is still counting 8 million votes on day five, also with internet and power.

So Tanzania somehow managed to process more than double Kenya’s votes, in less than half the time, in total darkness, with zero connectivity.

The world doesn’t need more “evidence.” There was no election in #Tanzania. Just a coronation.

samia suluhu hassan’s regime is
Tanzania imejaa viongozi wachawi
 
Hizi sio dhama za kutumia uongo utandawazi angalia hata mauaji yale mlizima network lakini vitu vimevuja tu
Tusipokua makini tunaweza kuendelea kusukumwa kwenye ukuta wa kuharibu Taifa zaidi na zaidi kitu kisicho kizuri kamwe.
 
Mbona marekani watu zaidi ya 400 mil na matokeo ni less than 24 hrs
Cha kwanza we ni mjinga cha pili hujui upigaji kura wa marekani ulivo na taratibu zake cha tatu hujui kuwa wanatumia teknolojia ipi kuhesabu kura cha nne Tanzania walihesabu kura manually bila teknolojia yeyote cha Tano we ni msenge
 
Mbona marekani watu zaidi ya 400 mil na matokeo ni less than 24 hrs
Mchanganuo wa Idadi ya Watu (Uchaguzi wa Marekani wa 2024)
Kulingana na Ofisi ya Sensa ya Marekani (US Census Bureau), idadi ya watu inavyopungua hadi kufikia wapiga kura halisi ni kama ifuatavyo:
  • Idadi ya Watu Wote Marekani: Takriban watu milioni 336.
  • Wenye Umri wa Kupiga Kura (VAP): Takriban watu milioni 236 (Hii haijumuishi watoto na wasio raia).
  • Waliorejiwa Kupiga Kura: Watu milioni 174 (73.6% ya wenye umri wa kupiga kura).
  • Waliopiga Kura Halisi: Watu milioni 154 walipiga kura (65.3% ya wenye umri wa kupiga kura).
  • Hiyo millioni 400 umeitoa wapi?
  • Kule hawazimi internet
  • Raia wao diaspora wanapiga kura kwenye embassy zao kokote duniani.
  • Huku ni shithole countries.
 
General elections in Africa
Maajabu ya dunia kutoka Tanzania
Data By Liberatus Mwang'ombe
Registered voters:

Zambia – 8.7 million
Kenya – 22.1 million
Tanzania – 37.6 million

Counting speed:

Tanzania “counted” 32 million votes in two days… with no internet and no electricity.

Kenya needed five days for 14 million votes, with internet and power.

Zambia is still counting 8 million votes on day five, also with internet and power.

So Tanzania somehow managed to process more than double Kenya’s votes, in less than half the time, in total darkness, with zero connectivity.

The world doesn’t need more “evidence.” There was no election in #Tanzania. Just a coronation.

samia suluhu hassan’s regime is
Video clips zinazoonesha matendo ovu siku ya uchaguzi, zinaondoa vitendawili na maswali ya kujiuliza uliza ili kuyashangaa matokeo!

Mtu(mwanamke) anaingia chumba cha kupigia kura, anakuta hakuna watu, kabakia msimamizi pekee anaanza kuyasokomeza maburunutu ya kura fake bila aibu wala haya usoni!

Nyie hamkuona hayo, kwa nini muanze kuuliza maswali ya kushangaa shangaa?

Pia rejeeni kauli za Nape zilizosababisha afukuzwe kwenye uwaziri zinatoa mwanga kuonesha namna Ccm wanavyohesabu kura, kupata matokeo na kutangaza kwa kasi ya mwanga!
 
Mbona marekani watu zaidi ya 400 mil na matokeo ni less than 24 hrs
Marekani hakuna population ya watu million mianne acha uwongo!!
Sema hapo Kwa Tz kwamba pia kulikuwa hakuna umeme(no electricity) kipindi Cha M029, ni mpotoshaji, pamoja na fujo zote zile zilizochukua takribani wiki3 ndo shughuli kuja kuendelea, Tanesko walijitahidi sana kutokukata umeme, utakosa nyanya, mchele,unga,dawa,nyama au sukari madukani lakini umeme ulikuwepo, kipindi kile tanesko walistahili sana medali, kama ukikatika ni Kwa hitilafu lakini utarudi...
 
Au ilifanyika kama ile ya raisi wa yanga?
 
Tusipokua makini tunaweza kuendelea kusukumwa kwenye ukuta wa kuharibu Taifa zaidi na zaidi kitu kisicho kizuri kamwe.
Kikundi kidogo cha wahuni na waroho wa madaraka wanaolazimisha kutawala kimabavu, ndiyo wanaoharibu hili Taifa/Nchi yetu.
 
Tz haikuwa na uchaguzi mkuu mwaka 2025, huyu rais wa sasa ameteuliwa na tume ya uchaguzi...wananchi hawakujitokeza kwenda kupiga kura!.
 
Back
Top Bottom