Maajabu ya daraja la Kigamboni!

nilitoa siku 14 lakini ningependa kuwafahamisha kuwa inawezekana kabisa zikawa chini ya siku 5

stay tuned
 
Mie sina swali...Hongera kutenga muda kujibu maswali ya akina Mchundo..yeye ametaka design..may be profile yake ni Architecture...plz kwa wasaa ulio nao mtoe Hofu mwenzetu...
 
Mie sina swali...Hongera kutenga muda kujibu maswali ya akina Mchundo..yeye ametaka design..may be profile yake ni Architecture...plz kwa wasaa ulio nao mtoe Hofu mwenzetu...

Architecture na madaraja wapi na wapi? Huko simo.

Naomba tuonyeshwe litakuwaje kama ambavyo wanafanya wenzetu.
 
Mkuu GT, kwenye data compilation are we lucky au bado unajaziajazia??

Bado tunasubiri hili faili kwani angalau tunangoja na sisi tuchumgulie huko ndani kuna nini?

info zote ziko tayari na kilichobaki ni kuzimwaga tuu...kama mtakumbuka nilikuleteeni kuhusus Membe na kiproject chake cha ID card na sasa mmekubali..hii ya daraja nayo nipeni max siku 14 nitawapa kila kitu...yaani tulipo na tunakokwenda












Under pressure!

na kweli maana naona hawataki kunipa nafasi ya kupumua..na mimi nambana ES atuwekee hiyo video aliyotuahidi last week



tunaamini GT kuwa siku 14 zako hazitokuwa sana na miezi 6 ya JK.
tutaanza kuhesabu kuanzia leo






kuna madai kuwa pesa za daraja zinatumika kwenye operesheni ya vita

sijui kuna ukweli kiasi gani lakini kwa Tanzania you cant rule anything out


Tumsubiri GT kama mwanzilishi ambae anasema atatuletea Faili zima


Game Theories.........
 
GM,
Mkuu sikuyasema haya:-
Mbali na kupunguza wingi wa watu katikati ya jiji, daraja pia litahamasisha ujenzi wa viwanda na majengo ya biashara kwa upande wa Kigamboni, mahoteli ya kitalii, nyumba zaidi za makazi na kituo cha mabasi ya kwenda mikoa ya kusini,`` alisema Mhandisi Msemo.
 

Kigamboni-Beach na Viwanda wapi na wapi hawaaaa??mbona wanataka kuharibu sasa.nakubaliana na miraadi yoooote lakini sio VIWANDA.mazingira yetu jamani.ushauri viwanda vijengwe atleast 40MILES out of the city center na makazi ya watu.in case swala zima la Master plan linaingia kwenye bongo za hawa wasomi wetu Tanzania.watafikiria kutojenga viwanda kigamboni!!I aint seen any in Miami Beach!!
 
Jamani nauza hivi? wale waliokula ten parcent ya ile barabara ya sam nujoma wanajisikiaje rohoni pindi wanapokatiza pale? na nasikia huyo mchina anayejenga hapo sasa hivi maji yamemfika shingoni na anataka kuwataja hadharani wale waliotafuna ile ten parcee, ila kinachowashinda sasa hivi ni hawajajua kama wakawataje polisi au wapi.kwa hiyo nawashauri waandishi wa habari wafuatilie suala hili kwa hawa wachina watagundua kitu.Haiwezekani barabara ya kilometa 3 ijengwe kwa miaka minne na haijafika hata asilimia 5o ya kukamilika,halafu aibu zaidi ni katikati ya mji kila mtu anaiona , aibuuu
 
'Work on Kigamboni Bridge to begin soon'

2008-07-19 09:28:52

SOURCE: Guardian

GT

Naona sasa urudi tu maana faili la daraja limeibukia Bungeni.... ..... LOL. watalijenga kule Kurasini kwa hiyo swala la meli kuingia halipo tena.
 
Mimi nipo na ndio maana nikasema miezi ya nyuma kuwa mwenye maswali yake ayalete

Ukweli fitna ilikuwepo tena si ndogo na kuna watu walishajipozisheni kutaka kula kwenye mradi huu...na mpaka matusi mazito yalitolewa lakini so far kwa sasa walau naweza kusema kuwa as much as haya mambo ya UFISADI left and right yamekuwa yakitukeep bize lakini walau hii ilani ya CCM iko mbini kutimizwa unless wale mafisadi warudi upya kwa kutumia vigezo vipya


Lakini tusijipe moyo sana kwani kuna mawaziri zaidi ya 2 walishamoverule Rais kwenye hili...sasa makes you wonder kama waliweza kumoverule MKPA what makes you think they wont do with JK?

Sasa kazi kwake JK kama ana nia ya kutimiza ilani hii ya CCM then litajengwa lakini kama ikitokea fitna upya basi JK ajue kuwa wachawi wake hawako mbali sana naye
 
Mkuu Dua hiyo article naona ilinipita kidogo asante sana Mkuu kwa kuiweka hapa manake sasa naona mambo yameanza kupamba moto.... Kwa harakaharaka nadhani yeyote aliyefanya upembuzi wa mwanzo ameonyesha busara ya hali ya juu "kitaaluma" kwa kuanzia na location ya daraja lenyewe kuwa Kurasini. Kwa kweli sina picha ya eneo lenyewe lakini kwa vile nimesfika eneo husika nina uhakika sasa ni mambo ya kufanya design etc!!!

Nilihisi na kuliongelea swala hili la location of the bridge huko mwanzo, sasa naona technically we are all swiming in the same direction!! We should all support the project!!
 
Nasikia kuna mpango wa kuleta mtaalamu wa kushauri umuhimu wa kujenga daraja la Kigamboni badala ya kuendelea kutegemea mitumbwi na pantoni!

Inawezekana mkuu, remember tuna tatizo la low IQ ya viongozi wetu (politicians) hivyo si ajabu kukuta mtu anaamua kugharamia mtaalam kutaka China au India aje atushauri kama kuna umuhimu wa kujenga choo ili tuweze kuwa na sehemu nzuri ya kuchimbia dawa badala kwenda chini ya nkorosho na kuumwa na siafu kwenye vichimbio.

Cha kushangaza unaweza kukuta wataalam wetu wanayo majibu lakini mawazo yao yanadharauliwa.
 
Tunaishi kwenye nchi ambayo kifo cha watu 10 au 20 kwa mwaka hapo kivukoni, au kuchelewa kazini kwa walala hoi wachache wanaoishi kigamboni sio tatizo kubwa kwa viongozi wetu. Watu wanalala usingizi bila shida. Viongozi wetu wanakuwa na busara zaidi na kuona umuhimu au kuyatambu matatizo ya wananchi kipindi cha uchaguzi tu. uchaguzi ukipita akili za viongozi wetu zinajaa funza na wanafanya mambo ambayo hata ukija uchaguzi mwingine akili zikiwarudia wanayaona kuwa ni dhambi (wakati huo) na ni wepesi kuyakanusha.
 

Inawezekana ukawa wewe husomi magazeti ya nyumbani,kwani Tangazo la ujenzi wa daraja hujaliona? kwa sababu mambo yote unayoyasema hapo juu yameelezewa wazi wazi



sioni tatizo hapa ni nini...mbona tunao ma consultants wa kila sekta Dar ambao wametoka nje ya nchi ambao wanatushauri namna ya kutumuia pesa zetu? wengine ni direct na wengine ni indirect be it jamaa wa World Bank or DFID na hilo huwezi kulizuia asiletwe.

unless kama kuna lingine




Cha muhimu ni kuwa ilani ya CCM ya kujenga daraja la kigamboni inaanza kutekelezwa ndio muhimu lakini cha kujiuliza ni kwa nini MWAZIRI walikuwa wanaoverule EXECUTIVE DECISION toka EXECUTIVE OFICE?

in short naweza kusema wazi wazi kuwa kwenye sakata la ujenzi wa daraja kuanzia kupangwa kwa ujenzi wake 1977 mpaka leo kumekuwa na UFISADI au tuseme vitendo vya kiFISADI vya hali ya juu ambavyo vilienga ku sabotage huu mradi baada ya kufufuliwa
 
Tangazo la ujenzi wa Daraja kama lilivyotoka katika Daily news na magazeti mengine hili hapa.


 
Kusema ukweli nashangaa kwa nini MAFISADI kule HAZINA na MIUNDOMBIU waliozuia ujenzi wa hili daraja hawajashughulikiwa

hii ni ilani ya UCHAGUZI YA CCM lakini humo humo kwenye serikali ya CCM kuna mawaziri na makatibu wao waliamua ku sabotage ujenzi wa hili daraja na sasa hivi wanajidai eti nothing hapenned



swali la kujiuliza


1) kwa nini walichelewa kutoa hiyo LETTER OF INTENT?


2) Baada ya kujulikana hawa mafisadi kwa nini bado wanaendelea kufanya kazi kule serikalini?


Je is it fair kusema kuwa aliyekuwa waziri wa kazi bwana JOHN POMBE MAGUFURI na katibu mkuu hazina bwana GRAY MGONJA kuna jambo walilifanya ambalo hatulijui?

Je role ya JOSEPHRUGUMYAMHETO (alikuwa ps kule Utumishi), Engineer JOHN KIJAZI zilikuwa ni zipi kwenye ufisadi wa ujenzi wa hili daraja?

je is it fair tukisema kuwa UFISADI SI KUIBA TUU PESA ZA WANANCHI BALI UFISADI NI PAMOJA NA KUIKOSESHA SERIKALI MAPATO

je hawa niliowataja hapo juu kama ikija gundulika walikuwa wanasabotage ujenzi wa hili Daraja tukiwaita MAFISADI kutakuwa na ubaya?
 
Hivi hili tangazo lilitolewa kwenye Daily news tu?

Wenye pesa zao nje ya TZ wametangaziwa vipi kwa sababu sidhani kama kuna kampuni yoyote ya kitanzania ambayo ina uzoefu na utaalamu wa PPP hasa ya barabara na madaraja? Au haya makampuni ya nje yataletwa kupitia connection zao na wanasiasa tu kama Richmond n.k?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…