Uungwana Vitendo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,342
- 527
Nyingine eti jini kuvuka barabara anaangalia kushoto kulia kushoto na kuhakikisha hamna magari anavuka
Kuna moja nilicheka miaka ya nyuma sana eti steringi alimfytulia mkuu wa maadui risasi na kioo kilikuwa kimewatenga mkuu wa maadui baada ya kufytulia risasi upande mwengine wa kioo akaanguka na kufa na damu kibao kuchuruzika lakin kioo hakikuvunjika kilikuwa vile vile.
Then wanakuja hapa kifua mbele,eti tupende vya nyumbani,hivi hizi movie za kibongo kuna ulazima kuwa na party two?
Kuna posta ya movie moja nimesoma somewhere movie inaitwa kabla ya kifo kwa blacket wakaandika before to die nikajiuliza labda mmi ndio sijui hio lugha ya wakoloni
Yaani mimi movie za bongo siangalii kabisa,hata unishikie bunduki utaniua,yaani naona kitendo tu cha kuangalia na mimi ni bogus, naangalia nini matakataka matupu
Kazi kuonesha mapaja manono tu ya akina J. Wolper! Movie za kibongo ni matatizo kuziangalia! Hazijengi maadili yoyote!!
Hata mm niliiona jana ni part 2,1 ilikuwa wiki ilopita.POILISA WANAMTAFUTA MTU KANA KWAMBA WANAJUA ALIPO na baada ya kumkamataa hata hawachukui tahaadhari na BASTOLA ya mhalifu inashikwa bila kujali ALAMA ZA VIDOLE.Na baada ya kumkamata wanaampeleka kwa mama yake mh!!
iv ile muvi ya majuto na wenzie inaitwa inye plus nayo sion kama ina maadili kabisa..wala haichekeshi cha zaid ipo kama ponograph..
hahahaha nilicheka pale yule mama anatoa vipande vya kuku jikoni at moja kwa moja kaviweka kwenye hotpot hata hajaweka somewhere kwenye chombo cha kuchuja kwanza yale mafuta lol
Wakati mwingine unaweza kukuta muigizaji ana uwezo mkubwa tu wa kuigiza, lakini story yenyewe sasa ya kijiiiiinga, kazi tu kupoteza muda kwenye vitu visivyo vya msingi.
Siku moja nilikuwa ugenini, nikalazimika kutazama bongo movie maana ndo waliyokuwa wameweka...
Nilishangaa sana kuona muigizaji mbongo kaigiza viwango vya juu, dada alijitahidi kwenye mambo ya uhalisia...
Nadhani ni somebody FORD kama sikosei, maana siwafahamu sana hawa vituko.
I never watch bongo movie.
Director: vicent kigosi
Producer: vicent kigosi
Editor: vicent kigosi
Script: vicent kigosi
Contnuity: vicent kigosi
Music: vicent kigosi
How comes story utunge mwenyewe uongoze mwenyewe uedit mwenyewe kila kitu mwenyewe! HAIWEZEKANI!!
Ndo maana kuna madudu mule.
Mimi huwa nawaza kitu kimoja, kwa wasanii ambao sasa wako vizuri kifedha, kwanini wasi-outsource hata utunzi wa story from Nigeria?
Wenzetu mbele, their main priority katika movie production ni uhalisia no matter how much will it cost. Imagine movie inakuliza.
Ya kibongo unaangalia huku unafyonza.
WHO REMEMBERS 'THE PRICE' aka pastor ken
...nimekuwa karibu na wazungu, malezi yao kwa watoto wadogo ni tofauti sana na wabongo. moja ya mambo aliyokuwa anasisitiza kwa katoto kake ka miaka mitatu ni kufikiria kwa kina kabla ya kufanya kitu. kakipoteza toy kanaambiwa think, kakimaliza kuchezea toy kanaambiwa think namna ya kutunza vitu vyako vizuri. kisha kanasomewa vitendawili na mafumbo ili kafikiri. nikajua wenzetu wanashughulisha ubongo sana na ndio matokeo ya kutumia akili sana ktk kila jambo. wabongo hatuna huu utamaduni na hatuamini ktk professionalism....
the price mimi happaI never watch bongo movie.
Director: vicent kigosi
Producer: vicent kigosi
Editor: vicent kigosi
Script: vicent kigosi
Contnuity: vicent kigosi
Music: vicent kigosi
How comes story utunge mwenyewe uongoze mwenyewe uedit mwenyewe kila kitu mwenyewe! HAIWEZEKANI!!
Ndo maana kuna madudu mule.
Mimi huwa nawaza kitu kimoja, kwa wasanii ambao sasa wako vizuri kifedha, kwanini wasi-outsource hata utunzi wa story from Nigeria?
Wenzetu mbele, their main priority katika movie production ni uhalisia no matter how much will it cost. Imagine movie inakuliza.
Ya kibongo unaangalia huku unafyonza.
WHO REMEMBERS 'THE PRICE' aka pastor ken
Kuna movie nilikua nikiangalia hapa EATV inaitwa CHOZI LA BABA duuuh yaaan kuna kipande kimenishangaza sana yan mtu ameshindwa ata kupiga ishara ya msalaba kweli duuuh kwa style hii kweli uigizaji gani huu...
Kwa atakayeipata angalia kipande kile mama mtu na mwanae wa kike walipo kwenda kaburini kuangalia kabur la baba yao kilicho tokea ni kwamba wote wawili izo ishara tu za msalaba zimekuwa tatizo...
Movie za bingo soko la kimataifa bado sana