Si nje ya mada kwa sababu nimeuliza swali la Socratic Method na inaonekana wewe huelewi Socratic Method ni nini.Hiyo ni Nje ya mada.
Ngoja nisaidie ili ajue namna ya kufanya conversation next time,Suala si kwamba mimi sijui.
Suala ni kwamba wewe inaonekana hujui The Socratic Method.
Unajua The Socratic Method ni nini?
Namuona ostadh ana swaliKwa haraka haraka ukitazama hiyo picha unaona nini? Je ukiitazama kwa makini unaona nini? Basi hayo ndio maajabu ya Allah
View attachment 3425653
Wewe labda una matatizo ya macho au maana picha inajieleza na pia nkmeweka maelezo ya kutosha.Basi huna maana yoyote, uislamu haujawahi kukataza kutoa elimu, hapo umeenda kinyume na mafundisho ya mtume s.a.w, ikiwa unaijua hata herufi 1 tu ya quran basi fundisha hiyo hiyo..
We ndio utuletee uswahili wako hapa sijui asiejua maana haambiwi maana!!
Nyinyi ndio malmafamya waislam tudharaulike.
Soote tusione, uone wewe tu 😂😂Wewe labda una matatizo ya macho au maana picha inajieleza na pia nkmeweka maelezo ya kutosha.
Mzee acha blah blah nyingi, nimeweka picha, inajieleza wazi, nikaweka na maelezo kukusaidiaSi nje ya mada kwa sababu nimeuliza swali la Socratic Method na inaonekana wewe huelewi Socratic Method ni nini.
Una assume mtu anayeuliza swali anauliza kwa sababu hajui jibu.
Huna uwezo wa kufikiri zaidi ya hapo.
Huna uwezo wa kufikiri kujua kwamba mtu anaweza kuuliza swali kwa nia ya kujua unavyofikiri wewe.
Bora umeuliza mkuu.Hapo ni wapi mkuu?
Nchi gani?
Wewe ndiye unaleta blah blah.Mzee acha blah blah nyingi, nimeweka picha, inajieleza wazi, nikaweka na maelezo kukusaidia
Kama una matatizo ya macho rudi tena ufungue Uzi na utazame hiyo picha kwa makini
Maana sikuhizi sio kila picha na video ni ya kuaminika.Bora umeuliza mkuu.
Wabongo wengi hata ukiwawekea picha za AI unawachota akili.
Halo ni nini kimepangwa?Wewe ndiye unaleta blah blah.
Unasema haya ni maajabu, nakuuliza maajabu ni nini, umeshindwa hata kuya define.
Sasa huoni kusema haya ni maajabu bila hata ya kuweza ku define maajabu ni nini ni blah blah tu?
Mtu akiamua kupanga mawe yatoe taswira fulani utasema hayo ni maajabu?
Jamaica kuna sehemu mwamba umekaa kama taswira ya uke, na maji ya mto yanatiririka.
Utasema hayo ni maajabu?
Hata ikiwa kweli hiyo sehemu ipo.Maana sikuhizi sio kila picha na video ni ya kuaminika.
Nimekuuliza hivii, maajabu ni nini?Halo ni nini kimepangwa?
Hujui maana ya neno "ajabu" so utafute kamusiNimekuuliza hivii, maajabu ni nini?
Hujajibu.
Hapo kuna kitu gani ambacho hakiwezi kupangwa na watu na kutokea kwake, kama hiyo picha si ya kutengenezwa na watu tu, ni lazima kuwe kwa maajabu?
Sahihi, Maana hiyo road ni man made.Hata ikiwa kweli hiyo sehemu ipo.
Cha ajabu ni kipi hapo?
Ndiyo maana nikauliza, maajabu ni nini?
Mpaka sasa sijajibiwa.
Hii picha umepiga mwenyewe au umechukuwa mitandaoni sasa hivi kuna AKILI ZIMWI zingatia sana hili usije ukasababisha ALLAH akatukanwa kwa kutokujua.Kwa haraka haraka ukitazama hiyo picha unaona nini? Je ukiitazama kwa makini unaona nini? Basi hayo ndio maajabu ya Allah
View attachment 3425653
Hujui Socratic Method.Hujui maana ya neno "ajabu" so utafute kamusi
Ndio maana nikasema wewe kwa uelewa wako upo mbali sana hata nikuelewesha nitajipa kazi sana. Tafuta Uzi wa size yako