Uchaguzi 2020 Maajabu ya 2020: Pascal Mayalla kura 1 Kawe, January na Nape Bungeni bila uchaguzi!

Wanasaikolojia husema binadamu tunaona vitu kwa namna tunavyopenda kuona lakini siyo katika uhalisia wake.

Kiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na mikakati yote aliyotumia kuwashawishi wajumbe hakitasahaulika.

Lakini kubwa zaidi ni hawa wabunge maarufu waliopata kuwa mawaziri kurudi bungeni kwa njia ya dirishani badala ya mlangoni akina Dr Kigwangalla, January Makamba na Nape ambao kiukweli wanakwenda kuwakilisha jimbo na si Wanajimbo.

Kubwa kuliko ni pale Daktari Faustine alipomtuliza mtaalam wa uvuvi ni RC mstaafu Mh. Paul pale Kigamboni.

Johnthebaptist, mzee Mgaya na mchungaji Erasto tunawatakia watanzania wote uchaguzi wenye baraka.

Mungu mbariki Rais Magufuli.

Mungu wabariki wabunge wateule hasa Iringa, Mbeya Tunduma, Hai, Same, Mikumi, Kawe, Nyamagana, Karatu, Vunjo, Arusha mjini na Kigoma ujiji

Mungu mbariki diwani mteule kule Mbweni.

Maendeleo hayana vyama!
Je unaona unavyotaka kuona ama unauona uhalisia wa mambo.
 
Tunajifunza siasa za uchaguzi kwani 2025 siyo mbali panapo uzima!

Siasa haina kudhalilika bwashee ndio maana unaona akina Kibajaji, Mwigullu, Gambo wanadunda tu pamoja na yote yanayosemwa mitandaoni.

Lakini staha izingatiwe, sie huyu ni mwenzetu tuko nae hapa JF bega kwa bega. Hao uliowataja umewaona hapa jukwaani mara ya mwisho lini?

Vile vile kwa kuwa yeye hajasema atagombea tena 2025, isingekuwa busara kumwadhibu kwa yaliyopita.

Maendeleo yana chama kwa awamu ya tano.
 
Hahaha kuna watu wanataka tukishindwa tusionekane.

Mbona mpira tunashabikia team zetu zinafungwa na tunazodolewa tunasahau na maisha yanaendelea tu?!

Siasa ni hivyo hivyo, hata akishinda Magufuli kazini nitaenda, akishinda Lisu kazini nitaenda.

Sio kwamba akishinda fulani basi washabiki wake sasa wanakula bure.

Siasa kama mpira unachagua team unaishabikia mwanzo mwisho.

Kwani chaguzi ngapi zimepita na tumo humu humu?!
 
Lakini staha izingatiwe, sie huyu ni mwenzetu tuko nae hapa JF bega kwa bega. Hao uliowataja umewaona hapa jukwaani mara ya mwisho lini?

Vile vile kwa kuwa yeye hajasema atagombea tena 2025, isingekuwa busara kumwadhibu kwa yaliyopita.

Maendeleo yana chama kwa awamu ya tano.
Kwani kupata kura moja halafu ikajadiliwa kuna tatizo gani? Pascal atabaki kuwa pascal na heshima yake haishuki sababu wanajamii forum wanajadili na kufurahi kwa kura aliyoipata.

Kikwete alitukanwa weeee ila bado heshima yake ipo, na Mayalla wapo wanaomkebehi kwa hiyo kura ila wanayatamani mafanikio aliyofikia na heshima yake ipo na itaendelea kuwepo japokuwa kwa mtu wa aina yake kugombea kupitia ccm ni kuonyesha njaa.
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Tunaishukuru hiyo kura moja uliyopata maana usingepata kitu ungekataa hukushiriki.
 
Lakini staha izingatiwe, sie huyu ni mwenzetu tuko nae hapa JF bega kwa bega. Hao uliowataja umewaona hapa jukwaani mara ya mwisho lini?

Vile vile kwa kuwa yeye hajasema atagombea tena 2025, isingekuwa busara kumwadhibu kwa yaliyopita.

Maendeleo yana chama kwa awamu ya tano.
Akiacha unafiki ataachwa, akiendelea kuwa mnafiki atapigwa tu.
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Maana yake mchango wako wa kusifu kila kitu cha CCM, hasa watu wanaoumizwa wajumbe hawaukubali.
Baki CCM BUT Change direction brother.
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P

Kama mkubwa P amini Kila likuepukalo lina heri furahi sababu una heri

YohanneMbatizaji johnthebaptist kwani roho wa bwana amekushuhudia nini Leo? Kwanini unaongea kwa mafumbo?
 
Lakini staha izingatiwe, sie huyu ni mwenzetu tuko nae hapa JF bega kwa bega. Hao uliowataja umewaona hapa jukwaani mara ya mwisho lini?

Vile vile kwa kuwa yeye hajasema atagombea tena 2025, isingekuwa busara kumwadhibu kwa yaliyopita.

Maendeleo yana chama kwa awamu ya tano.
Kusema alipata kura moja ndio kumuadhibu?!!

Hii inampa changamoto kwamba 2025 aje kivingine.

Mimi namkubali sana Pascal na niko Kawe na huenda hiyo kura moja aliyoipata ni yangu!
 
Kwani kupata kura moja halafu ikajadiliwa kuna tatizo gani? Pascal atabaki kuwa pascal na heshima yake haishuki sababu wanajamii forum wanajadili na kufurahi kwa kura aliyoipata.

Kikwete alitukanwa weeee ila bado heshima yake ipo, na Mayalla wapo wanaomkebehi kwa hiyo kura ila wanayatamani mafanikio aliyofikia na heshima yake ipo na itaendelea kuwepo japokuwa kwa mtu wa aina yake kugombea kupitia ccm ni kuonyesha njaa

Tatizo sio kujadili au kutojadili kura moja, kuna nyuzi kadhaa ikiwepo maelezo yake mwenyewe kuhusu hiyo kura moja. Hapakua na umuhimu wa kufungua uzi mwingine wa maudhui yale yale.
 
Kuna mtu kanikumbusha kupigwa chini kwa pascal mayalla katika kura za maoni za wabunge nikawa nacheka tu nikajiuliza sasa mkuu alitaka apite awe mbunge kivipi? Kashindwa kuongoza watoto wake ambao hata 20 hawafiki ataweza kuingoza kawe yenye watu lukuki? Kashindwa kutatua kero za familia yake, atawezaje kutatua kero za wana kawe? Kawe kuna mambo kibao ambayo angeshindwa kuyatatua. Aanzie kwanza kujenga familia yake ndio aanze kuijenga kawe ya wenyewe, aanze kwanza kuwalea watoto wake na kuwafundisha adabu waache kutelekeza damu zao na baba yupo kiupaumbele kufundisha watoto zake tabia ya kukataa watoto. Uyo ndiye aliyetegemea angeupata ubunge kwa kulala na kuamka tayari mbunge¿????
Cc:pascal Mayalla
Duh...!. yamekuwa haya...!.
P
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Ulipata kura ya mwanajf maana wewe sio mbunge, halafu kama Gwajizzo a.k.a Chid uliwahi Sema "kakambuni' kako kanakutosha.
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Pole comrade usikate TAMAA
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu JF, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Umezidi kiherehere kwa msukuma mwenzio!
 
Back
Top Bottom