Nimepita ubungo lami inapigwa Demi. Usicheze na Sirikali
Chezea Obama weye,shetani wetu na wa yote haya NI CCM TU.Hapa hapa Dar Es Salaam kuna wakazi kibao hawana maji ila Obama anakuja maji yanapatikana hata ya kumwangalia barabara. Kweli Tanzania tunastahili kuchekewa na majirani.
Nıpo ubungo mataa: Morogoro road na Samnujoma road zınapıgwa dekı: Kwelı Obama Nomaaaaa.....! Tutashuhudıa mengı
Chezea Obama weye,shetani wetu na wa yote haya NI CCM TU.
Nahisi huwa wanajiuliza hivi hawa watu wananini kwenye akili zao maana wanauwezo wa kufanya kila ila hawafanyi
Wameweka gari linamwaga maji barabarani. Kule kwenye lami.KUPIGWA DEKI imekuwa kana neno la utani na mizaha, eleza wanachofanya ninini ili wasomaji wajue!
Sometimes tunaexagerate mno taarifa zetu.
Si mwongo. Mimi nilipita saa kumi na moja asubuhi nimekuta wanamwaga maji na gari. pale ubungo maji.Mwongo huyu. Mi nipo ubungo hapa. mbona amna mtu anapiga deki barabara. labda wafagizi ndo nilikuta wapo bize kile kinjia cha Ubungo maziwa wanafagia. Deki? aaaah....jamani punguzeni uongo. Barabara yenyewe ya kupiga deki iko wapi...Strabarg wametindua kila mahali.
Si mwongo. Mimi nilipita saa kumi na moja asubuhi nimekuta wanamwaga maji na gari. pale ubungo maji.
Si mwongo. Mimi nilipita saa kumi na moja asubuhi nimekuta wanamwaga maji na gari. pale ubungo maji.
Hilo si tatizo sana hata kama hizo barabara au sehemu yoyote atakayotembelea Obama ingekarabatiwa na kusafishwa kwa kurambwa kwa ulimi na kunakishiwa kwa mate! Tatizo ni matumizi hovyo na ya kijinga ya kodi za wananchi kwa manufaa ya wachache!