Maajabu Tanzania

Maajabu Tanzania

SWEEPER

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
269
Reaction score
87
Nıpo ubungo mataa: Morogoro road na Samnujoma road zınapıgwa dekı: Kwelı Obama Nomaaaaa.....! Tutashuhudıa mengı
 
I ve always suspected colonialism and its variant neocolonialism has caused permanent and irrepairable psychological damage across the board, sio viongozi sio wananchi.
 
I ve always suspected colonialism and its variant neocolonialism has caused permanent and irrepairable psychological damage across the board, sio viongozi sio wananchi.

That thıng COLONIALISM never left Afrıca!
 
  • Thanks
Reactions: awp
Kumbe inawezekana kwa Dar Es Salaam kuwa mji msafi. Huu ujio wa Obama hapa kwetu umeleta tafsiri ya hajabu na ya kufurahisha kwa tunaoishi hapa Dar. Jiji limekuwa safi mpaka mtu unaona haibu, yaani usafi kila kona ya jiji, wazururaji wamefungwa au wamerudi vijijini kwani hawaonekani kuzurura tena, amani jijini imerudi, na machangu wamehamia makaburini. Sasa kama hii inawezekana kwanini tumsubiri Obama kusafisha jiji na kuleta amani? Jamani, ujinga mwingine tunajitakia wenyewe.
 
Nıpo ubungo mataa: Morogoro road na Samnujoma road zınapıgwa dekı: Kwelı Obama Nomaaaaa.....! Tutashuhudıa mengı

Subiri aondoke keshokutwa, mavi barabarani yatarudishwa pale pale, used condoms zitatupwa hovyo barabarani, uchafu uliofichwa utarudishwa tena barabarani, wajanja wataanza kurudi tena makaburini kufanya ngono, wauza unga (mafashionista) watalazimisha kuzaa na kuita watoto wao majina ya watoto wa Obama na kujifanya wamarekani weusi. Hii nchi, we acha tu.
 
Leo barabara za Dar nyeuuuupeee! Yaani magari machache sana. Ni heri kukaa home leo kama huna jambo la maana.
 
Hivi yale maji ni ya kuosha barabara. Nimewahi huku town nashangaa kulivyotulia. Obama ni rais wengine ni mbwembwe tu.

Hapa hapa Dar Es Salaam kuna wakazi kibao hawana maji ila Obama anakuja maji yanapatikana hata ya kumwangalia barabara. Kweli Tanzania tunastahili kuchekewa na majirani.
 
Leo barabara za Dar nyeuuuupeee! Yaani magari machache sana. Ni heri kukaa home leo kama huna jambo la maana.

Muda bado, hatuma shughuli ingine leo zaidi kumshanga mgeni subiri mida ifike utatuona barabarani!
 
Nıpo ubungo mataa: Morogoro road na Samnujoma road zınapıgwa dekı: Kwelı Obama Nomaaaaa.....! Tutashuhudıa mengı
KUPIGWA DEKI imekuwa kana neno la utani na mizaha, eleza wanachofanya ninini ili wasomaji wajue!
Sometimes tunaexagerate mno taarifa zetu.
 
KUPIGWA DEKI imekuwa kana neno la utani na mizaha, eleza wanachofanya ninini ili wasomaji wajue!
Sometimes tunaexagerate mno taarifa zetu.

Mkuu kwa kuwa barabara zetu za lamı zına vumbı la kutosha zınamwagıwa majı ılı Obama asıtımkıwe na vumbı atakapotembelea mıtambo ya umeme ya Symbıon ubungo hapo kesho
 
Hilo la kupiga deki namimi nimeliona, inasikitisha sana.
 
haya bana inapigwa demi ila nadhani ulimanisha deki
OK SIO MBAYA, OBAMA NJOO JIJI JIJI LINUKIE
OOOhaaa! !bongo smell like usa
 
Hizondizo sera za Serikal ya CCM.
Natamani 2015 ifike haraka, pia naomba mungu niwe mzima ili nije nijionee kwa macho
 
kumbe tunaweza kuwa wasafi eeh,aisee huyu ndo mutanzania bwana utumwa wa kiakili haujaisha kumbe
 
Kumbe inawezekana kwa Dar Es Salaam kuwa mji msafi. Huu ujio wa Obama hapa kwetu umeleta tafsiri ya hajabu na ya kufurahisha kwa tunaoishi hapa Dar. Jiji limekuwa safi mpaka mtu unaona haibu, yaani usafi kila kona ya jiji, wazururaji wamefungwa au wamerudi vijijini kwani hawaonekani kuzurura tena, amani jijini imerudi, na machangu wamehamia makaburini. Sasa kama hii inawezekana kwanini tumsubiri Obama kusafisha jiji na kuleta amani? Jamani, ujinga mwingine tunajitakia wenyewe.
Nahisi huwa wanajiuliza hivi hawa watu wananini kwenye akili zao maana wanauwezo wa kufanya kila ila hawafanyi
 
Back
Top Bottom