Mimi nilitoswa baada ya intavyuu sasa uzi wa sensa jukwaa la ajira na tenda nauona kama kitua cha polisi wakati nilikuwa nakesha mule na Mwanangu mpwayungu villageKesho hakikisha unatoa idadi kamili ya vishikwambi unavyomiliki, vilivyoibiwa.
Duh! umefikia mbali sana mmi ni genius mkuu😂😂😂😂😂😂😂😂
Kijamaa ukikikuta kinampamba Mayele utasema kina akili kumbe kichwani ni HOLLOW SPACE 😂😂
Nifanye nini nipone mkuu?nipe muongozo mkuuNdugu zangu hii kitaalamu inaitwa mania ni mmoja wapo wa ugonjwa wa akili! Ahsanteni#grandiose delusion#
Inapendeza sana..Mimi mwinyi ame ni text pia hii ni dalili nzuri sana kwetu.
Maana toka kitambo rais alivyonitext mara ya mwishoNasubiri text mpya