Pole kwa Rais Samia: Viongozi wa Dini Wafika Nyumbani

Pole kwa Rais Samia: Viongozi wa Dini Wafika Nyumbani

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
913
Reaction score
792
Viongozi wa Dini, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Septemba, 2026.

Soma Pia:
IMG-20260911-WA0092.jpg
IMG-20260911-WA0093.jpg
IMG-20260911-WA0094.jpg
IMG-20260911-WA0095.jpg
IMG-20260911-WA0101.jpg
IMG-20260911-WA0100.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom