red bandama
JF-Expert Member
- Jul 29, 2016
- 483
- 575
Hahahaha, unachekesha wewe, kama novel tu ukienda maktaba, kupata iliyoandikwa na mwarabu ni za kumulika na tochi itakuwaje kwenye sayansi?.... Katika kusoma kwangu vitabu nishasoma kimoja tu kimeandikwa mwarabu wa moroko, warabu wamezidiwa kwa mbali hata na wahindi
Haujui unachiokiongea wewe, unaujua mchango wa Waarabu kwenye Dunia ya Sayansi na Hisabati? isitoshe kwani Waafrika hatuna hayo Mafuta na gesi? Linganisha sasa Maisha ya raia wa Qatar, Kuwait, au Saudia na maisha ya Raia wa Nigeria, Angola, Equatorial Guinea &Co.!