Maajabu: Kuwait ina walimu wanne (4) tu wa physics

Haujui unachiokiongea wewe, unaujua mchango wa Waarabu kwenye Dunia ya Sayansi na Hisabati? isitoshe kwani Waafrika hatuna hayo Mafuta na gesi? Linganisha sasa Maisha ya raia wa Qatar, Kuwait, au Saudia na maisha ya Raia wa Nigeria, Angola, Equatorial Guinea &Co.!
Jifunze kuandika kwa ufasaha!
 
Haujui unachiokiongea wewe, unaujua mchango wa Waarabu kwenye Dunia ya Sayansi na Hisabati? isitoshe kwani Waafrika hatuna hayo Mafuta na gesi? Linganisha sasa Maisha ya raia wa Qatar, Kuwait, au Saudia na maisha ya Raia wa Nigeria, Angola, Equatorial Guinea &Co.!
Maendeleo yote Kuwait na nchi zingine zote za Kiarbu yanafanywa na Wazungu.Mwarabu hana uwezo hata wa kutengeneza pini ya kubania nepi.Katika watu weupe Mwarabu ni wa mwisho duniani katika medani ya sayansi na teknolojia ingawa sisi Waafrika kwa wote ndo tunaongoza.Katika vitu vyote anavyotumia mwanadamu katika maisha yake yote vimegunduliwa na vinatengenezwa na mzungu.Sababu kubwa ni kwamba shule na Mwarabu ni kama paka na panya.Ndio maana Kuwait kama jamaa alivyosema nchi nzima ina walimu wa fizikia wa nne tu.Wakati mzungu anafikiri jinsi ya kuweka makazi ya watu mwezini yeye Mwarabu anawaza majini na vitu vya kufikirika na kusadikika.
 
Tuambie sasa hivi Mwarabu anatengeneza nini peke yake??
 
Hawa jamaa bado wananyonywa na America yaani hwajapewa muda wa kupumua kuwait miundo mbinu bado madaraja yale yale ya miaka ya tisini bado kuna matundu ya risasi yaani kuna baadhi ya mitaa ni kama kigamboni Raia wengi walikimbia kipindi cha vita wakati kuwait ilipo vamiwa na Iraq,hawataki kurudi yaani ni kama somalia wengi waliozaliwa kipindi cha kuanzia 1990 mpaka leo hawajui kusoma wala kuandika ina population ndogo sana,kuanzia hapo kila kitu ni mmarekani ukiingia kuwaiti wanalo jeshi dhoofu sana,Sadam aliwapiga vibaya sana alitaka kuifanya kuwait iwe ni state ndani ya iraq ingekuwa sio america wangeisha,na wanazalisha gesi na mafuta kwa kasi ya ajabu sasa jiulize kwanini mpaka leo hawana shule.

Una uhakika na hayo niliyokuwekea nyekundu? Au unapiga porojo tu?

Education

to the top

Youth (15-24 years) literacy rate (%) 2008-2012*, male

98.6

Youth (15-24 years) literacy rate (%) 2008-2012*, female

98.7

Number per 100 population 2012, mobile phones

191.1

Number per 100 population 2012, Internet users

79.2

Pre-primary school participation, Gross enrolment ratio (%) 2008 -2012*, male

81.2

Pre-primary school participation, Gross enrolment ratio (%) 2008 -2012*, female

83.2

Primary school participation, Gross enrolment ratio (%) 2008-2012*, male

103.9

Primary school participation, Gross enrolment ratio (%) 2008-2012*, female

107.5

Primary school participation, Net enrolment ratio (%) 2008-2012*, male

96.6

Primary school participation, Net enrolment ratio (%) 2008-2012*, female

100

Primary school participation, Net attendance ratio (%) 2008-2012*, male

Primary school participation, Net attendance ratio (%) 2008-2012*, female

Primary school participation, Survival rate to last primary grade (%) , 2008-2012*, admin. data

96

Primary school participation, Survival rate to last primary grade (%) , 2008-2012*, survey data

Secondary school participation, Net enrolment ratio (%) 2008-2012*, male

85.7

Secondary school participation, Net enrolment ratio (%) 2008-2012*, female

92.6

Secondary school participation, Net attendance ratio (%) 2008-2012*, male

Secondary school participation, Net attendance ratio (%) 2008-2012*, female

Statistics

Definitions and data sources
 
Lakini wewe siyo Mzungu! Tatizo ninaloliona hapa ni kwamba wengi wenu mnajiweka kwenye nafsi ya Mzungu, lkn nyie ni Waafrika hivyo kama mlitaka kumcheka Mwarabu mlipaswa mmlinganishe na sisi Waafrika, na siyo kumuingiza Mzungu, hayo ya kulinganisha Mzungu na Mwarabu muachie Mzungu mwenyewe lkn siyo sisi Waafrika!
 
Una uhakika na hayo niliyokuwekea nyekundu? Au unapiga porojo tu?

Education

to the top

Youth (15-24 years) literacy rate (%) 2008-2012*, male

98.6

Youth (15-24 years) literacy rate (%) 2008-2012*, female

98.7

Number per 100 population 2012, mobile phones

191.1

Number per 100 population 2012, Internet users

79.2

Pre-primary school participation, Gross enrolment ratio (%) 2008 -2012*, male

81.2

Pre-primary school participation, Gross enrolment ratio (%) 2008 -2012*, female

83.2

Primary school participation, Gross enrolment ratio (%) 2008-2012*, male

103.9

Primary school participation, Gross enrolment ratio (%) 2008-2012*, female

107.5

Primary school participation, Net enrolment ratio (%) 2008-2012*, male

96.6

Primary school participation, Net enrolment ratio (%) 2008-2012*, female

100

Primary school participation, Net attendance ratio (%) 2008-2012*, male

Primary school participation, Net attendance ratio (%) 2008-2012*, female

Primary school participation, Survival rate to last primary grade (%) , 2008-2012*, admin. data

96

Primary school participation, Survival rate to last primary grade (%) , 2008-2012*, survey data

Secondary school participation, Net enrolment ratio (%) 2008-2012*, male

85.7

Secondary school participation, Net enrolment ratio (%) 2008-2012*, female

92.6

Secondary school participation, Net attendance ratio (%) 2008-2012*, male

Secondary school participation, Net attendance ratio (%) 2008-2012*, female

Statistics

Definitions and data sources
Mnaamini sana google hata tz uki search kwenye google jibu unalo.
 
Haujui unachiokiongea wewe, unaujua mchango wa Waarabu kwenye Dunia ya Sayansi na Hisabati? isitoshe kwani Waafrika hatuna hayo Mafuta na gesi? Linganisha sasa Maisha ya raia wa Qatar, Kuwait, au Saudia na maisha ya Raia wa Nigeria, Angola, Equatorial Guinea &Co.!
Wewe ni muarabuu[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Maendeleo yote Kuwait na nchi zingine zote za Kiarbu yanafanywa na Wazungu.Mwarabu hana uwezo hata wa kutengeneza pini ya kubania nepi.Katika watu weupe Mwarabu ni wa mwisho duniani katika medani ya sayansi na teknolojia ingawa sisi Waafrika kwa wote ndo tunaongoza.Katika vitu vyote anavyotumia mwanadamu katika maisha yake yote vimegunduliwa na vinatengenezwa na mzungu.Sababu kubwa ni kwamba shule na Mwarabu ni kama paka na panya.Ndio maana Kuwait kama jamaa alivyosema nchi nzima ina walimu wa fizikia wa nne tu.Wakati mzungu anafikiri jinsi ya kuweka makazi ya watu mwezini yeye Mwarabu anawaza majini na vitu vya kufikirika na kusadikika.

Nani alikudanganya kuwa Uarabu ni rangi?
Mnaamini sana google hata tz uki search kwenye google jibu unalo.

Hivi Google kazi yake mojawapo ni nini?

Umeiona source niliyoiweka au umekurupuka tu?
 
Sisi Waafrika tuliokuwa na somo la Dunia imetusaidia nini? Mchango wetu ni upi kwenye Dunia ya Sayansi na tekonoljia ulikilinganisha na Waarabu mnaowacheka? Ulishasikia Waarabu wanaomba chakula ingawaje nchi yao ni Jangwa? Sisi mpaka leo hii tunaomba chakula ingawaje tumezungukwa na Maji na ardhi nzuri kila mahali!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] si kwa povu hili.. Unajibu as if wewe ni muarabu.. Waislam bana kwa kuwatetea MABWANA ZENU hamjamboo[emoji13]
 
Maendeleo yote Kuwait na nchi zingine zote za Kiarbu yanafanywa na Wazungu.Mwarabu hana uwezo hata wa kutengeneza pini ya kubania nepi.Katika watu weupe Mwarabu ni wa mwisho duniani katika medani ya sayansi na teknolojia ingawa sisi Waafrika kwa wote ndo tunaongoza.Katika vitu vyote anavyotumia mwanadamu katika maisha yake yote vimegunduliwa na vinatengenezwa na mzungu.Sababu kubwa ni kwamba shule na Mwarabu ni kama paka na panya.Ndio maana Kuwait kama jamaa alivyosema nchi nzima ina walimu wa fizikia wa nne tu.Wakati mzungu anafikiri jinsi ya kuweka makazi ya watu mwezini yeye Mwarabu anawaza majini na vitu vya kufikirika na kusadikika.
Waeleze [emoji23]
 
Nani alikudanganya kuwa Uarabu ni rangi?

Hivi Google kazi yake mojawapo ni nini?

Umeiona source niliyoiweka au umekurupuka tu?
Ukipigiwa picha magorofa ya dsm utasema ni maendeleo hizo sosi zenu mnacopy wapi?Unaambiwa waalimu wa fizikia wapo wa nne 4 tu,nnchi nzima inaendeshwa na foreigners mpaka airport kuwait city counter ni mzungu hawana manpower unakuja na story za uchumi hapa.??
 
Kweli mkuu....Wewe ni Great Thinker wa ukweli. Inabidi watu wasiamini tafiti ambazo zinapatikana kwenye google, waamini porojo za kwenye kahawa.
Tatizo lako umeingia maktaba bila kusikiliza lecture,ni sawa tu na alie dandia treni kwa mbele.
 
Nawasiwasi na uchangiaji wako umekaa kichuki chuki... Kuwait hii au?
kuwait-city.jpg

SS_138413030_KuwaitCity_sRGB_fc.jpg

Au Unazungumzia Makumbusho

Kuwait-war-1.jpg
kuwait-house-of-national-works-museum.jpg
Mi mwenyewe nimestuka maelezo yake wakati pesa yao iko juu zaidi kuliko nchi yoyote duniani...how comes? amekariri....
 
Ukipigiwa picha magorofa ya dsm utasema ni maendeleo hizo sosi zenu mnacopy wapi?Unaambiwa waalimu wa fizikia wapo wa nne 4 tu,nnchi nzima inaendeshwa na foreigners mpaka airport kuwait city counter ni mzungu hawana manpower unakuja na story za uchumi hapa.??
Bila shaka mtakuwa kwenye vichwa vyenu mmejaza KÄMäSI...yaani mnaleta stori zisizo na source madhubuti. Tanzania ji nchi masikini lina walimu kibao tena wengi wao wasio na uwezo kitaaluma, wenye ufaulu finyu. Halafu nchi tajiri ambayo inalipa mishahara minono kwa walimu iwe na uhaba wa walimu, DUH Kweli nyie ni GREAT THINKERS!
Any way tujaalie haina walimu, then nawapa information za mishahara Yao ili muombe kazi muepukane na ufukara nyie, familia zenu na koo zenu kwa ujumla.

Average Yearly Salary for teacher: 3000 KWD (=22,023,636.43 Tsh)
Average Minimum Education: Bachelor

Hawa jamaa bado wananyonywa na America yaani hwajapewa muda wa kupumua kuwait miundo mbinu bado madaraja yale yale ya miaka ya tisini bado kuna matundu ya risasi yaani kuna baadhi ya mitaa ni kama kigamboni Raia wengi walikimbia kipindi cha vita wakati kuwait ilipo vamiwa na Iraq,hawataki kurudi yaani ni kama somalia wengi waliozaliwa kipindi cha kuanzia 1990 mpaka leo hawajui kusoma wala kuandika ina population ndogo sana,kuanzia hapo kila kitu ni mmarekani ukiingia kuwaiti wanalo jeshi dhoofu sana,Sadam aliwapiga vibaya sana alitaka kuifanya kuwait iwe ni state ndani ya iraq ingekuwa sio america wangeisha,na wanazalisha gesi na mafuta kwa kasi ya ajabu sasa jiulize kwanini mpaka leo hawana shule.
wewe hujafika kuwait,uliza waliofika wakwambie hakuna hata nchi kwa afrika yako utaifananisha na kuwait,hata hyo Marekani bado itasubiri sana,pia ujue Dinar 1 ya kuweit ni sawa na dola tatu,means ukiwa na dinar mia moja ya kuweit sawa na milioni sita za tanzania.
 
Back
Top Bottom