Maajabu: Kuwait ina walimu wanne (4) tu wa physics

Maajabu: Kuwait ina walimu wanne (4) tu wa physics

Tatizo lako umeingia maktaba bila kusikiliza lecture,ni sawa tu na alie dandia treni kwa mbele.
Uliyeingia lecture na kukaririshwa na lecturer Kilaza wa mada hii, nipe majibu yako ktk nukta hizi:
Kuwait is the fourth richest country in the world per capita.
1 Kuwaiti Dinar =3.28 US Dollar (January 25, 2017)
1 Kuwaiti Dinar = 7,346.75 TSh (January 25, 2017)

Unaweza pia ukaomba majibu kwa mwalimu wako
 
Bila shaka mtakuwa kwenye vichwa vyenu mmejaza KÄMäSI...yaani mnaleta stori zisizo na source madhubuti. Tanzania ji nchi masikini lina walimu kibao tena wengi wao wasio na uwezo kitaaluma, wenye ufaulu finyu. Halafu nchi tajiri ambayo inalipa mishahara minono kwa walimu iwe na uhaba wa walimu, DUH Kweli nyie ni GREAT THINKERS!
Any way tujaalie haina walimu, then nawapa information za mishahara Yao ili muombe kazi muepukane na ufukara nyie, familia zenu na koo zenu kwa ujumla.

Average Yearly Salary for teacher: 3000 KWD (=22,023,636.43 Tsh)
Average Minimum Education: Bachelor

Ni nchi yenye uwezo haiwezekani mwalimu wa fizikia akosekane hata kama ikitokea ni tatizo la muda na lipo ndani ya uwezo wao kwa asilimia zote na kwa mshahara wowote...ni moja ya nchi zinazofaidika na Natural resources zake kikamilifu...tofauti na porojo zetu sisi ngozi nyeusi
 
Hizo nchi ni balaa...ninawafahamu wahadhiri wawili wa UDSM waliacha kufundisha UDSM wakakimbilia nchi hizo kutokana na mishahara minono na marupurupu. Walibeba na familia zao. Mmoja alikuwa mtaalamu wa Statistics na mwingine mtaalamu wa Math.
 
Mleta uzi ameleta makala ya kipindi kuwait ipo vitani siyo kuwait ya 2000s
 
Haya ombeni kazi ya kufundisha Kuwait nyie wasomi.

Early Childhood Teacher-Kuwait
Job Reference: STJ26785
Type:
Private International , Nursery, Primary & Secondary School
Type of Post:
Permanent, Full Time
Application type :
Overseas & Local applicants accepted
Deadline:
Oct 27, 2017

Contact Email:
ak@SeekTeachers.com
Interview Format: Face to Face, Telephone, Web Camera,

Job Description
Description
I am looking for an Early Years Teacher to start Aug 2017 in my client school located in Kuwait. This is a FANTASTIC opportunity if you have over 2 year’s experience.Students are very friendly and keen to learn.The school delivers the American curriculum.

Job Description:

**Must be passionate about working with children.
**Paying attention to the students activities.
**Must be a good listener toward students and parents.
**Attend evening meetings with the parents and keep them updated with students progress.

To find out more information call me now on +44 203 455 0195 or email me your CV with a photo to ak@SeekTeachers.com
Minimum Application Requirements
Qualification:
Minimum Qualification Requirement: M.Ed, B.Ed or a relevant Bachelor's Degree with a Teaching Qualification

Experience: 2 Years

Remuneration Package
Salary Range:
A salary up to 800 KWD= Tsh 5,876,821.80 per month based on experience and qualification, TAX FREE
Housing:
Based on application fully furnished Housing provided
Medical:
State/Public medical provided
Flights:
Flight(s) provided for the teacher only

Bereavement Leave:
Bereavement leave given
Emergency Evacuation:
Emergency evacuation given
Gratuity Amount:
Gratuity Amount of 21 days for each year completed is provided
Contract Length:
2 years contract renewable on mutual agreement
Important Information
Document Attestation:
Yes. SeekTeachers is able to help you with this service, click Here for more information
Age restrictions: 60
 
Najaribu kusoma comments za wadau na sometimes mihemko yao! Lakini lazima tukubali kuwa kuwait imejaliwa rasilimali ya mafuta (Oil) kama ilivyo saudi arabia, iraq etc. kwao mafuta ni uhai na uhai ni mafuta. Makampuni mengi ya kigeni yana bid kazi kuwait hasa makampuni ya kimarekani na kulingana na rasilimali ya mafuta, wananchi wake wana nemeka na maendeleo yanaonekana. Good for them! wengi wanashindwa kutofautisha elimu (vyeti) na maendeleo in reality kwani kwa nyakati tofauti huenda elimu ya darasani ikaleta maendeleo though not always! ukitofautisha nchi kama Nigeria ambako kuna mafuta na wasomi wengi lakini hawana utofauti na bongo, ni kwa sababu ya mismanagement of natural resources pamoja na rushwa. Hawa maadui wawili (2) ndo wameendelea kuwa mwiba kwa nchi za kiafrica na madhara yake ni kuona vita ya wenyewe kwa wenyewe, njaa ishiyoisha, ukosefu wa ajira na uharamia mwingine wa kutisha...

Picha mbalimbali za kuwait....Source: google Image
_70772838_kuwait_port_g.jpg

kuwait.jpg

20160224000576_0.jpg

KuwaitCity_1.jpg

maxresdefault.jpg

kuwait-tower-city.jpg

Kuwait-Skyline-Night.jpg

Kuwait.png

kuwait-city.jpg

Kuwait_city.jpg
 
Ukiwa tajiri watoto wako hawawezi kufanya kazi za ndani ,kama vile kupika ,kuosha vyombo, kudeki, kusafisha choo, kulinda getini n.k.

Kwa kifupi tu ni kwamba kwa utajiri walionao wakuwait imebidi wawaajiri wazungu wawe kama watumwa wao.
Wazungu ndio watumwa wa kufanya kazi za wakuwait.
Karne zilizopita wafanyakazi waliitwa watumwa. Lakini baada ya kuwa na mifumo ya kulipa mishahara badala ya kupewa chakula wakaitwa watumishi.

Kuwait wanaishi kama wafalme hawana haja ya kuumiza vichwa wakati wazungu ambao ni watumwa wao wapo watawatuma kwa fedha na wao watastarehe duniani na ahera pia.
 
Mwarabu na elimu dunia wapi na wapi bwana,tena na hao wa4 si'ajabu walisoma ng'ambo ndo wakarudi makwao,wao elimu ya dunia sio muhimu wao ya ahera tu that's why wanashindwa kupambana na mazingira yao wanabaki kuuana wenyewe kwa wenyewe.
Mdomo mali yako. Na Jf ni Bure kwa hio kuropoka Ruksa.
Ngoja nikusaidie elimu ya Bure.

Ktk hesabati Kuna Somo liitwali ALGEBRA na . algorithm.

Na bila somo.hilo wewe usingeweza kutumia hicho ulichotumia kuandika Utumho huu. Na.kukashifu watu usiowajua na usio na elimu.nao.

Je! Unamjua founder of Algebra na algorithm?

Huyu si mwingine bali ni Muhammad ibn Musa al-Khwarizmi.

Sasa kamsome huyu Baba wa mahesabu ili siku nyingine ushike adabu yako kutukana walio kufungueni fahamu mpk kiumbe km wewe ukaweza kujua hata "1" maana yake nini.

Na huyo ni mmoja tu ya WAARABU kati ya mamia waliokuwa Founders of Great inventions in this planet.

Soma kabla hujaanza kupayuka km mlevi kijana.
 
Maendeleo yote Kuwait na nchi zingine zote za Kiarbu yanafanywa na Wazungu.Mwarabu hana uwezo hata wa kutengeneza pini ya kubania nepi.Katika watu weupe Mwarabu ni wa mwisho duniani katika medani ya sayansi na teknolojia ingawa sisi Waafrika kwa wote ndo tunaongoza.Katika vitu vyote anavyotumia mwanadamu katika maisha yake yote vimegunduliwa na vinatengenezwa na mzungu.Sababu kubwa ni kwamba shule na Mwarabu ni kama paka na panya.Ndio maana Kuwait kama jamaa alivyosema nchi nzima ina walimu wa fizikia wa nne tu.Wakati mzungu anafikiri jinsi ya kuweka makazi ya watu mwezini yeye Mwarabu anawaza majini na vitu vya kufikirika na kusadikika.
Sasa tazama utumbo mwingine huu.

Wewe ukishakuwa Billionaire utaacha kuajiri vijakazi waje kukujengea nchi yako au utakamata Koleo mwenyewe?

Ohhh waarabu wako Nyuma.

Mwarabu akija hap Bongo ananunua Nchi nzima na sisi tukiwo ndani yake.

We endelea kuvumbua taptap na Viroba wenzetu wananunua mataifa pesa zao.

Dinar 1 ya Kuwait ni zaidi ya Shs(madafu) 7500 bado unataka wajenge nchi yao kwa mikono yao? wasiajiri njaa kali kina John na Thomas from US ane Europe?

Dah....

Kaazi kweli kweli
 
Najaribu kusoma comments za wadau na sometimes mihemko yao! Lakini lazima tukubali kuwa kuwait imejaliwa rasilimali ya mafuta (Oil) kama ilivyo saudi arabia, iraq etc. kwao mafuta ni uhai na uhai ni mafuta. Makampuni mengi ya kigeni yana bid kazi kuwait hasa makampuni ya kimarekani na kulingana na rasilimali ya mafuta, wananchi wake wana nemeka na maendeleo yanaonekana. Good for them! wengi wanashindwa kutofautisha elimu (vyeti) na maendeleo in reality kwani kwa nyakati tofauti huenda elimu ya darasani ikaleta maendeleo though not always! ukitofautisha nchi kama Nigeria ambako kuna mafuta na wasomi wengi lakini hawana utofauti na bongo, ni kwa sababu ya mismanagement of natural resources pamoja na rushwa. Hawa maadui wawili (2) ndo wameendelea kuwa mwiba kwa nchi za kiafrica na madhara yake ni kuona vita ya wenyewe kwa wenyewe, njaa ishiyoisha, ukosefu wa ajira na uharamia mwingine wa kutisha...

Picha mbalimbali za kuwait....Source: google Image
_70772838_kuwait_port_g.jpg

kuwait.jpg

20160224000576_0.jpg

KuwaitCity_1.jpg

maxresdefault.jpg

kuwait-tower-city.jpg

Kuwait-Skyline-Night.jpg

Kuwait.png

kuwait-city.jpg

Kuwait_city.jpg
Prof,unachoongea bado h ukijui hata chembe moja,natural resources kibao za Kuwait na nyinginezo za Uarabuni ni sawa na Msukuma na almasi.Yeye atazitumia kuchezea bao kwa sababu hawezi kuzi-transform kwenye matumizi mengine ya kumletea tija kwa sababu hana elimu yeyote.Mafuta na gesi ya Uarabuni yanagundulika chini ya ardhi kwa kutumia vifaa maalum vya wazungu,na kuchimbwa wanatumia vifaa vya wazungu.Miundo mbinu yote Uarabuni inafanywa na wazungu,majengo mazuri yote Uarabuni yanajengwa na wazungu,vifaa vyote vinavyotumika kwenye shughuli yeyote ya maendeleo Uarabuni vinatengenezwa na wazungu kwa mfano magari magari mazuri,Vituo vya radio na tv na kila kizuri kilichopo kule ni kazi ya mzungu!!!.Hata chakula anachokula Mwarabu kinazalishwa na wazungu kwa sababu kwao ni jangwa.Hata kama wangekuwa na ardhi yenye rutuba wangetumia matrekta ya wazungu kulimia mashamba.Nguo zote anazovaa Mwarabu anatengenezewa na wazungu.Mwarabu popote alipo ni sawa na kiwete,amwombe sana Mungu wake hawa watu waendelee kumbeba!!!!.Kitu cha kushangaza wakati Mwarabu hana uwezo wowote wa maarifa ya sayansi na teknolojia anatapatapa kutaka kuongoza dunia,ataongozaji dunia kupitia mgongo wa maendeleo wa mzungu?? Hivi sasa Waarabu wote wanapigana vita kali ya wenyewe kwa wenyewe huku wakiharibu kila kitu kwa kutumia zana bora as kivita zilizotengenezwa na wazungu,huu sasa ndio utumwa mbaya kabisa,utumwa wa kukosa akili na maarifa!!!!.
 
Mungu akikupa hakunyimi vyote..

Kuwait hata kama hawajui fizikia na hesabu ..Mungu kawapa mafuta na hela [emoji23][emoji23][emoji23] sasa hivi sidhani kama kuna baa la njaa kule...

Sasa rudi hapa penye walimu wa maprofesa wa fizikia...[emoji23][emoji23] we are dying for hunger
 
Nani hana mafuta na hela?? Mimi naona watu wengine wanaota ndoto za mchana.
 
Maendeleo yote Kuwait na nchi zingine zote za Kiarbu yanafanywa na Wazungu.Mwarabu hana uwezo hata wa kutengeneza pini ya kubania nepi.Katika watu weupe Mwarabu ni wa mwisho duniani katika medani ya sayansi na teknolojia ingawa sisi Waafrika kwa wote ndo tunaongoza.Katika vitu vyote anavyotumia mwanadamu katika maisha yake yote vimegunduliwa na vinatengenezwa na mzungu.Sababu kubwa ni kwamba shule na Mwarabu ni kama paka na panya.Ndio maana Kuwait kama jamaa alivyosema nchi nzima ina walimu wa fizikia wa nne tu.Wakati mzungu anafikiri jinsi ya kuweka makazi ya watu mwezini yeye Mwarabu anawaza majini na vitu vya kufikirika na kusadikika.
Hao wazungu mbona hawaji kutuletea maendeleo na sisi kama wanavyofanya kwa waarabu? Money talks wana hela let money work for them.
 
Sisi Waafrika tuliokuwa na somo la Dunia imetusaidia nini? Mchango wetu ni upi kwenye Dunia ya Sayansi na tekonoljia ulikilinganisha na Waarabu mnaowacheka? Ulishasikia Waarabu wanaomba chakula ingawaje nchi yao ni Jangwa? Sisi mpaka leo hii tunaomba chakula ingawaje tumezungukwa na Maji na ardhi nzuri kila mahali!
"Sisi mpaka Leo tunaomba chakula"lini tumeomba na tumemuomba nani?
 
Back
Top Bottom