Maajabu: Kuwait ina walimu wanne (4) tu wa physics

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,785
20,161
Mkuu wa kamati ya bajeti katika bunge la Kuwait, Adnan Abdulsamad ametahadhrisha kuwa hivi sasa kuna walimu wanne tu nchini humo wanaofundisha somo la Fizikia na kusisitiza kuwa idadi hiyo haikubaliki kwa namna yoyote.

Waziri wa Elimu ya Juu wa Kuwait Muhammad Al-Faris naye pia ameashiria uhaba mkubwa wa walimu ilionao nchi hiyo katika masomo muhimu kama Fizikia na Hesabati na kupendekeza kuwa ili kukabiliana na tatizo hilo serikali iwaajiri Wakuwaiti wasio na vitambulisho vya uraia wanaojulikana kama 'Bedoons'; kwa kuzingatia kuwa wengi miongoni mwao wanafaulu kwa kiwango cha juu lakini kutokana na utambulisho wao, vyuo vikuu vya nchi hiyo haviko tayari kuwapatia fursa za kuendelea na masomo ya juu.

Akizungumzia suala hilo, Abdulsamad amesema ni heri kuwapa mafunzo na kuwatumia Bedoons kuliko kuajiri walimu kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kutatua tatizo la uhaba wa walimu.

Nchini Kuwait kuna idadi ya Waarabu zaidi ya laki mbili waishio majangwani wanaojulikana kama Bedoons. Serikali ya Kuwait inawachukulia waarabu hao kuwa ni watu wasio na utambulisho na haiko tayari kuwapatia uraia wa nchi hiyo…/

Waziri wa Elimu Muhammad al-Faris

Source: Radio tehran
 
Hawa jamaa bado wananyonywa na America yaani hwajapewa muda wa kupumua kuwait miundo mbinu bado madaraja yale yale ya miaka ya tisini bado kuna matundu ya risasi yaani kuna baadhi ya mitaa ni kama kigamboni Raia wengi walikimbia kipindi cha vita wakati kuwait ilipo vamiwa na Iraq,hawataki kurudi yaani ni kama somalia wengi waliozaliwa kipindi cha kuanzia 1990 mpaka leo hawajui kusoma wala kuandika ina population ndogo sana,kuanzia hapo kila kitu ni mmarekani ukiingia kuwaiti wanalo jeshi dhoofu sana,Sadam aliwapiga vibaya sana alitaka kuifanya kuwait iwe ni state ndani ya iraq ingekuwa sio america wangeisha,na wanazalisha gesi na mafuta kwa kasi ya ajabu sasa jiulize kwanini mpaka leo hawana shule.
 
Economy of Kuwait

From Wikipedia, the free Encyclopedia

Kuwait is a small, petroleum-based economy. The Kuwaiti dinar is the highest-valued unit of currency in the world.[9] Non-petroleum industries include financial services.[10] According to the World Bank, Kuwait is the fourth richest country in the world per capita.[11] Kuwait is the second richest GCC country per capita (after Qatar).).[11][12][13]

1 Kuwaiti Dinar =3.28 US Dollar (January 25, 2017)
1 Kuwaiti Dinar = 7346.75 TSh (January 25, 2017)

upload_2017-1-25_21-13-44.png

Transport in Kuwait
Kuwait has an extensive and modern network of highways. Roadways extended 5,749 km (3,572 mi), of which 4,887 km (3,037 mi) is paved. There are more than 2 million passenger cars, and 500,000 commercial taxis, buses, and trucks in use. On major highways the maximum speed is 120 km/h (75 mph). Since there is no railway system in the country, most people travel by automobiles.

upload_2017-1-25_21-12-1.png

Ushauri
Msiwe mnakaririshwa tu muwe mnafanya tafiti kabla ya kukurupuka kupost chochote
 
Attachments

  • Kuwait_highway.jpg
    Kuwait_highway.jpg
    178.7 KB · Views: 80
Hawa jamaa bado wananyonywa na America yaani hwajapewa muda wa kupumua kuwait miundo mbinu bado madaraja yale yale ya miaka ya tisini bado kuna matundu ya risasi yaani kuna baadhi ya mitaa ni kama kigamboni Raia wengi walikimbia kipindi cha vita wakati kuwait ilipo vamiwa na Iraq,hawataki kurudi yaani ni kama somalia wengi waliozaliwa kipindi cha kuanzia 1990 mpaka leo hawajui kusoma wala kuandika ina population ndogo sana,kuanzia hapo kila kitu ni mmarekani ukiingia kuwaiti wanalo jeshi dhoofu sana,Sadam aliwapiga vibaya sana alitaka kuifanya kuwait iwe ni state ndani ya iraq ingekuwa sio america wangeisha,na wanazalisha gesi na mafuta kwa kasi ya ajabu sasa jiulize kwanini mpaka leo hawana shule.
Nawasiwasi na uchangiaji wako umekaa kichuki chuki... Kuwait hii au?
kuwait-city.jpg

SS_138413030_KuwaitCity_sRGB_fc.jpg

Au Unazungumzia Makumbusho

Kuwait-war-1.jpg
kuwait-house-of-national-works-museum.jpg
 
Waarabu nao ni kama waafrika tu, kinachowasaidia ni mafuta la sivyo wangekuwa fourth world society.

Haujui unachiokiongea wewe, unaujua mchango wa Waarabu kwenye Dunia ya Sayansi na Hisabati? isitoshe kwani Waafrika hatuna hayo Mafuta na gesi? Linganisha sasa Maisha ya raia wa Qatar, Kuwait, au Saudia na maisha ya Raia wa Nigeria, Angola, Equatorial Guinea &Co.!
 
Mwarabu na elimu dunia wapi na wapi bwana,tena na hao wa4 si'ajabu walisoma ng'ambo ndo wakarudi makwao,wao elimu ya dunia sio muhimu wao ya ahera tu that's why wanashindwa kupambana na mazingira yao wanabaki kuuana wenyewe kwa wenyewe.

Unaujua mchango wa Waarabu kwenye Hisabati?
 
Hawana haja na somo la dunia.

Sisi Waafrika tuliokuwa na somo la Dunia imetusaidia nini? Mchango wetu ni upi kwenye Dunia ya Sayansi na tekonoljia ulikilinganisha na Waarabu mnaowacheka? Ulishasikia Waarabu wanaomba chakula ingawaje nchi yao ni Jangwa? Sisi mpaka leo hii tunaomba chakula ingawaje tumezungukwa na Maji na ardhi nzuri kila mahali!
 
Back
Top Bottom