Maajabu: Kuwait ina walimu wanne (4) tu wa physics

Maajabu: Kuwait ina walimu wanne (4) tu wa physics

Kama waislam mnavyowakumbatia waarabu watesi wenu.. Waarabu waliwatesa mpakaa! Lakini bado mnawaabudu kama mungu mf. Wazanzibar utafikiri matahira..mkisikia mada zinazohusu waarab mnabwata ka bata maji[emoji57] idiots!! ..

NOTE:
Hekima za nyerere ndo ziliondoa wakoloni Tanganyika na si waislam.. Wapuuz kama nyie mnaweza ondoa mkoloni

Tatizo lenu kubwa ni hili, Kinachokufanyeni muumie na kutoa mapovu waislamu na zanzibar wanawapenda waarabu nini hasa hebu twambieni.
 
Vita va kwanza va dunia alipigana muarabu?
Vita va pili va dunia alipigana muarabu?
Vietnam na Marekeani je?
Korea kaskazini na korea kusini je?
Nyerere na Iddi Amini je ?
Congo kwa kabila je nako kuna muarabu?
Huyo jamaa ni kiazi, achana naye
 
Wanatoa hata msaada huku kwetu, nafikiri daraja la Kibiti. Sisi tuko busy na upinzani.!
 
Haujui unachiokiongea wewe, unaujua mchango wa Waarabu kwenye Dunia ya Sayansi na Hisabati? isitoshe kwani Waafrika hatuna hayo Mafuta na gesi? Linganisha sasa Maisha ya raia wa Qatar, Kuwait, au Saudia na maisha ya Raia wa Nigeria, Angola, Equatorial Guinea &Co.!

Umeongea point kabisa kiongozi. Tatizo letu waafrika wivu na chuki zimetuzidi dhidi ya hao waarabu.
 
Mwarabu na elimu dunia wapi na wapi bwana,tena na hao wa4 si'ajabu walisoma ng'ambo ndo wakarudi makwao,wao elimu ya dunia sio muhimu wao ya ahera tu that's why wanashindwa kupambana na mazingira yao wanabaki kuuana wenyewe kwa wenyewe.

Hizo ni chuki zinakusumbua mkuu. Tubadilike
 
Economy of Kuwait

From Wikipedia, the free Encyclopedia

Kuwait is a small, petroleum-based economy. The Kuwaiti dinar is the highest-valued unit of currency in the world.[9] Non-petroleum industries include financial services.[10] According to the World Bank, Kuwait is the fourth richest country in the world per capita.[11] Kuwait is the second richest GCC country per capita (after Qatar).).[11][12][13]

1 Kuwaiti Dinar =3.28 US Dollar (January 25, 2017)
1 Kuwaiti Dinar = 7346.75 TSh (January 25, 2017)


View attachment 463840

Transport in Kuwait
Kuwait has an extensive and modern network of highways. Roadways extended 5,749 km (3,572 mi), of which 4,887 km (3,037 mi) is paved. There are more than 2 million passenger cars, and 500,000 commercial taxis, buses, and trucks in use. On major highways the maximum speed is 120 km/h (75 mph). Since there is no railway system in the country, most people travel by automobiles.

View attachment 463838

Ushauri
Msiwe mnakaririshwa tu muwe mnafanya tafiti kabla ya kukurupuka kupost chochote
Asante sana mkuu kwa kuwa elimisha watu wanao kariri tuu na hakuna kipingamiza wikipedia always husema ya kweli...GOD bless you
 
Chuki inamfanya binadamu anatoka kwenye ukweli hz comment, nimeziona!
 
Back
Top Bottom