Maajabu: Kuwait ina walimu wanne (4) tu wa physics

Maajabu: Kuwait ina walimu wanne (4) tu wa physics

Mkuu wa kamati ya bajeti katika bunge la Kuwait, Adnan Abdulsamad ametahadhrisha kuwa hivi sasa kuna walimu wanne tu nchini humo wanaofundisha somo la Fizikia na kusisitiza kuwa idadi hiyo haikubaliki kwa namna yoyote.
I doubt kama utakuwa umesikia vizuri! Labda useme walimu 4 ambao ni Wakuwait lakini sio total teachers.

Kuwait ni kanchi kadogo sana kenye utajiri mkubwa wa mafuta na kwahiyo wana uwezo wa kuajiri walimu toka popote pale duniani!
 
Waarabu walioko Afrika watabaki kuwa Waarabu wanaokaa bara la Afrika.Waamerika weusi ambao ni Waafrika walioko Amerika kamwe hawezi kuwa Wazungu.
We mkuu..wale weusi wa amerika sio waafrika wala wazungu bali ni black amerika

Waarabu waliopo afrika ni waafrika,

Sasa mnapo sema.waarabu na waafrika wakat katika waafrika.waarabu nao wapo humo humo siwaelewi

WaAFRIKA ni wanao ishi bara la afrika
WaAMERIKA wanaishi Amerika nk

Ni kama hivyo mkuu
 
I doubt kama utakuwa umesikia vizuri! Labda useme walimu 4 ambao ni Wakuwait lakini sio total teachers.

Kuwait ni kanchi kadogo sana kenye utajiri mkubwa wa mafuta na kwahiyo wana uwezo wa kuajiri walimu toka popote pale duniani!
Kuwait kenye utajiri wa mafuta,mbona mafuta yametapaa kila kona ya dunia na watu wamenyamaza tu? China,Urusi na Amerika mbona wanamafuta mengi kuliko Kuwait na wametulia kimya??
 
Hawa jamaa bado wananyonywa na America yaani hwajapewa muda wa kupumua kuwait miundo mbinu bado madaraja yale yale ya miaka ya tisini bado kuna matundu ya risasi yaani kuna baadhi ya mitaa ni kama kigamboni Raia wengi walikimbia kipindi cha vita wakati kuwait ilipo vamiwa na Iraq,hawataki kurudi yaani ni kama somalia wengi waliozaliwa kipindi cha kuanzia 1990 mpaka leo hawajui kusoma wala kuandika ina population ndogo sana,kuanzia hapo kila kitu ni mmarekani ukiingia kuwaiti wanalo jeshi dhoofu sana,Sadam aliwapiga vibaya sana alitaka kuifanya kuwait iwe ni state ndani ya iraq ingekuwa sio america wangeisha,na wanazalisha gesi na mafuta kwa kasi ya ajabu sasa jiulize kwanini mpaka leo hawana shule.
Naomba unijulishe kwanza kama kweli unaijua Kuwait vizuri I mean umewahi kuishi huko.
Maana msifikiri wote humu hatuijui Q8.

Sioni kama ni chuki hii bali niseme ni ulimbukeni
 
Kuwait kenye utajiri wa mafuta,mbona mafuta yametapaa kila kona ya dunia na watu wamenyamaza tu? China,Urusi na Amerika mbona wanamafuta mengi kuliko Kuwait na wametulia kimya??
Hoja yako hasa ni ipi?! By the way, kuna mtu amekukataza kuandika jinsi ambavyo US na China walivyo na mafuta mengi?! Yaani suala la Kuwait, ulitaka niongelee Urusi na mafuta yake... maajabu haya!!!!
 
Kama wagalatia wanavyokumbatia wakoloni, bila waislam nchi hii mpaka leo wazungu wasingeondoka,
Kama waislam mnavyowakumbatia waarabu watesi wenu.. Waarabu waliwatesa mpakaa! Lakini bado mnawaabudu kama mungu mf. Wazanzibar utafikiri matahira..mkisikia mada zinazohusu waarab mnabwata ka bata maji[emoji57] idiots!! ..

NOTE:
Hekima za nyerere ndo ziliondoa wakoloni Tanganyika na si waislam.. Wapuuz kama nyie mnaweza ondoa mkoloni
 
Hoja yako hasa ni ipi?! By the way, kuna mtu amekukataza kuandika jinsi ambavyo US na China walivyo na mafuta mengi?! Yaani suala la Kuwait, ulitaka niongelee Urusi na mafuta yake... maajabu haya!!!!
Hoja ni kwamba Kuwait wana mafuta mengi kama ilivyo kwa nchi zingine nyingi duniani na uchumi wote wa nchi hiyo unatokana na nyenzo toka nchi za ulaya.Kwa kifupi ni kwamba Kuwait ni nchi dhaifu katika medani ya sayansi na teknolojia na bila uwepo wa wazungu haiwezi kusimama peke yake.
 
Mkuu wa kamati ya bajeti katika bunge la Kuwait, Adnan Abdulsamad ametahadhrisha kuwa hivi sasa kuna walimu wanne tu nchini humo wanaofundisha somo la Fizikia na kusisitiza kuwa idadi hiyo haikubaliki kwa namna yoyote.

Waziri wa Elimu ya Juu wa Kuwait Muhammad Al-Faris naye pia ameashiria uhaba mkubwa wa walimu ilionao nchi hiyo katika masomo muhimu kama Fizikia na Hesabati na kupendekeza kuwa ili kukabiliana na tatizo hilo serikali iwaajiri Wakuwaiti wasio na vitambulisho vya uraia wanaojulikana kama 'Bedoons'; kwa kuzingatia kuwa wengi miongoni mwao wanafaulu kwa kiwango cha juu lakini kutokana na utambulisho wao, vyuo vikuu vya nchi hiyo haviko tayari kuwapatia fursa za kuendelea na masomo ya juu.

Akizungumzia suala hilo, Abdulsamad amesema ni heri kuwapa mafunzo na kuwatumia Bedoons kuliko kuajiri walimu kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kutatua tatizo la uhaba wa walimu.

Nchini Kuwait kuna idadi ya Waarabu zaidi ya laki mbili waishio majangwani wanaojulikana kama Bedoons. Serikali ya Kuwait inawachukulia waarabu hao kuwa ni watu wasio na utambulisho na haiko tayari kuwapatia uraia wa nchi hiyo…/

Waziri wa Elimu Muhammad al-Faris

Source: Radio tehran
Waje tz wapo wengi tu kule mchikichini wanapigisha tuition
 
Mwarabu anachukiwa kwa sababu yeye ndie kinara wa chuki.Hakuna mzungu mahali popote wanapopigana vita,no Waarabu pekee kila kona ya dunia ndio wanakung'utana,wanachapana kwa sababu ya chuki,wanajitoa mhanga na kujilipua kwa sababu ya chuki,wanaeneza ugaidi dunia nzima kwa sababu ya chuki.Kwa hiyo mtu mwenye chuki hawezi kupendwa.

Kwa mazingira yanvoonekanwa weye ndie mwenye chuki.
 
Mwarabu anachukiwa kwa sababu yeye ndie kinara wa chuki.Hakuna mzungu mahali popote wanapopigana vita,no Waarabu pekee kila kona ya dunia ndio wanakung'utana,wanachapana kwa sababu ya chuki,wanajitoa mhanga na kujilipua kwa sababu ya chuki,wanaeneza ugaidi dunia nzima kwa sababu ya chuki.Kwa hiyo mtu mwenye chuki hawezi kupendwa.

Vita va kwanza va dunia alipigana muarabu?
Vita va pili va dunia alipigana muarabu?
Vietnam na Marekeani je?
Korea kaskazini na korea kusini je?
Nyerere na Iddi Amini je ?
Congo kwa kabila je nako kuna muarabu?
 
We mkuu..wale weusi wa amerika sio waafrika wala wazungu bali ni black amerika

Waarabu waliopo afrika ni waafrika,

Sasa mnapo sema.waarabu na waafrika wakat katika waafrika.waarabu nao wapo humo humo siwaelewi

WaAFRIKA ni wanao ishi bara la afrika
WaAMERIKA wanaishi Amerika nk

Ni kama hivyo mkuu

Ni dhana potufu ya Wabantu kujimilikisha Africa. Huchukulia kama bi bara lao peke yao wakati ilo jina lenye LA Africa asili yake ni uarabuni.
 
Hoja ni kwamba Kuwait wana mafuta mengi kama ilivyo kwa nchi zingine nyingi duniani na uchumi wote wa nchi hiyo unatokana na nyenzo toka nchi za ulaya.Kwa kifupi ni kwamba Kuwait ni nchi dhaifu katika medani ya sayansi na teknolojia na bila uwepo wa wazungu haiwezi kusimama peke yake.

Je Tanzania inaweza kusimama peke yake?
 
Back
Top Bottom