KERO Maajabu! Goba Mageti hadi mtaa wa Muhimbili, Dar es Salaam eneo hili halina mtandao

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,666
Reaction score
6,742
Igweeeeeee

Hii nchi ukiifikiria kiundani utaishia kulaani wazazi wako kukuzaa bongo

Nimepata kwenda kumtembelea rafiki yangu ana site yake huko goba, mji umepangika vizuri na watu wanaishi maisha standard ikiwa na ujenzi wa kisasa kabisa

Ajabu ya eneo hili goba mageti hususani upande huu wa Nashpark paris hadi muhimbili na maeneo baadhi kwa robati hakuna internet kabisa

Yaani imenifikirisha sana, inawezekanaje sehemu ndani ya jiji kama dar es salaam halina network? Kweli tuko gizani

Hili kwangu ni ajabu
 
Acha uwongo nipo maeneo haya ya mwimbili karibu na ofisi ya serikali ya mtaa
 
Igweeeeeee

Hii nchi ukiifikiria kiundani utaishia kulaani wazazi wako kukuzaa bongo

Nimepata kwenda kumtembelea rafiki yangu ana site yake huko goba, mji umepangika vizuri na watu wanaishi maisha standard ikiwa na ujenzi wa kisasa kabisa

Ajabu ya eneo hili goba mageti hususani upande huu wa Nashpark paris hadi muhimbili na maeneo baadhi kwa robati hakuna internet kabisa

Yaani imenifikirisha sana, inawezekanaje sehemu ndani ya jiji kama dar es salaam halina network? Kweli tuko gizani

Hili kwangu ni ajabu
Kwanza umepost vipi kama upo maeneo haya na post yako ikapostika?😂 Acha miyeyusho
 
Igweeeeeee

Hii nchi ukiifikiria kiundani utaishia kulaani wazazi wako kukuzaa bongo

Nimepata kwenda kumtembelea rafiki yangu ana site yake huko goba, mji umepangika vizuri na watu wanaishi maisha standard ikiwa na ujenzi wa kisasa kabisa

Ajabu ya eneo hili goba mageti hususani upande huu wa Nashpark paris hadi muhimbili na maeneo baadhi kwa robati hakuna internet kabisa

Yaani imenifikirisha sana, inawezekanaje sehemu ndani ya jiji kama dar es salaam halina network? Kweli tuko gizani

Hili kwangu ni ajabu
Umejaribu mitandao yote?
 
Unatumia mtandao gani mkuu tuwafikishie wenyewe
 
Back
Top Bottom