Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

sasa kama alikwisha jiharibu huko kunako sirini mimi nitajuaje? au unataka nibambikiwe mkuu?!!

Kuharibiwa Kivip?! Kwa hyo ukishamtest ukakuta kaharibiwa hutakuwa Na malengo nae tena?!
Kama unafikir shr is th one sex wont prove t otherwise..... Love weigh more than sex.... As long as mna mahusiano mazur ngono ni manjonjo tu....
 
Usikubali kuoa bila kutest mkuu...unanunua gari hata injini huji ina uwezo gani?...wizi mtupu,achana nae.

akiendelea na msimamo wake huo huo lazima nimkimbie haraka sana tu aisee!! utakuta wanawake kama hawa ndio wachepukaji maarufu sana tu!!
 
Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi. Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu. Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza! Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!! Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa? Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.
NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!

Anachofanya binti huyo ni sahihi kabisa.Kwanza unasema unaweza ukamuoa,je usipomuoa itakuaje.Hivi nikuambie kitu,kama kweli unampenda msubiri,huyo ni mwanamke bwana,hataki ujinga,hicho ni kifaa.Remember anayekubali ngono kabla hujamuoa ni cheap.
 
Stop preaching what you could not practice back to those days!!
 
sio issue ya zinaa mkuu...huyo mchumba nataka kuoa tatizo anaweza kuwa majanga ukiingia kichwa kichwa!!
Unataka utest nini sasa? Kwamba ni mwanamke au mwanaume? Vyovyote vile ngono kabla ya ndoa au nje ya ndoa ni zinaa tu!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kuharibiwa Kivip?! Kwa hyo ukishamtest ukakuta kaharibiwa hutakuwa Na malengo nae tena?!
Kama unafikir shr is th one sex wont prove t otherwise..... Love weigh more than sex.... As long as mna mahusiano mazur ngono ni manjonjo tu....

Having sex is one of the most intergral aspect of the marriage...kama yeye hakutunza mwili wake na ame fail test nina mdisco tu akae huko kwao asuburi mazuzu ya kuja kuwauzia vitu used!!
 
Unataka utest nini sasa? Kwamba ni mwanamke au mwanaume? Vyovyote vile ngono kabla ya ndoa au nje ya ndoa ni zinaa tu!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app

mkuu nataka nitest kama anafaa kwa ndoa ama la!!
 
Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi. Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu. Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza! Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!! Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa? Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.
NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!

yani hadi kutomba unaomba ushauri dunia ya waasherati hii kama vp mpige chini ili ukague wengine
 
Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi. Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu. Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza! Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!! Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa? Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.
NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!

Some dudes be slow!!! 4 months u aint seen shit? Utakua mtu wa maneno mengi, jaribu kupunguza maneno mkiwa chumbani ... U'll tell me
 
Having sex is one of the most intergral aspect of the marriage...kama yeye hakutunza mwili wake na ame fail test nina mdisco tu akae huko kwao asuburi mazuzu ya kuja kuwauzia vitu used!!

If tht wud be the case sidhan ka most Galz wa siku hz wangekuwa wameolewa!! Coz wengi washakuwa used!!
Anaweza akawa ameyafanya sana hayo but maybe ameamua Au amejeiwekea promise kuwa hataki kufanya tena yale aliyoyafanya mwanzo as she have learned from her mistake.... She want something real sth serious so its better you understand her
Or better still, kaa nae chin mfanye rafiki ili akwambie kwann anakuwa Na huo msimamo kuliko kuwa unamseduce halafu anakukata stim....
Huo ni mtazamo wangu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom