Maajabu 7 ya Serikali Mpya ya Tanzania

Maajabu 7 ya Serikali Mpya ya Tanzania

Sawa mkuu nipo Dodoma naanda maandamano ya kudai bunge lionyeshwe live
Nimesoma sehemu eti baraza la wazee la chama fulani limepata fununu kwamba chama chao kinataka kufutwa na msajili wa vyama vya siasa
 
Nimesoma sehemu eti baraza la wazee la chama fulani limepata fununu kwamba chama chao kinataka kufutwa na msajili wa vyama vya siasa
Wenyewe wafute tu tubaki na chama chetu pendwa cha Mwalimu
1473427671602.jpg
 
Maajabu ya Mbowe mtetea wanyonge kukwepa kodi na kufukuzwa billicanas
Maajabu ya mbowe kufukuzwa peke yake wakati wizara za serikali nazo ni wadaiwa sugu kuliko hata Mbowe kwenye nyumba hizo.
 
1: Bandari inakosa Meli TPA wanakiri mizigo imepunga alafu serikali inasema hakuna mizigo Iliyopungua!!

2: V.A.T inapanda Gavana wa Benki kuu anasema hii itakuwa kwa Mteja Waziri wa fedha unakuja na kusema watoa huduma ndio watalipa!!

3: Rais anasimama na Kumuita mwananchi wake ****** alafu Mwananchi akimuita ****** anafunguliwa kesi ya jinai na faini ya milioni 7

4: Police anamkamata mtu kwa kosa la kuvuta bangi ambayo ni starehe binafisi anashindwa kukamata watu waliosababisha twiga wetu wakapanda ndege na kupelekwa nje ya nchi!!

5: TBC anashindwa kuonyesha bunge Live Wakati huohuo wanaonyesha Harusi live!!

6: Mikataba ya Nchi inapitishwa kwa hoja ya Dharura kama walivyofanya kwenye Gesi alafu Rais wa nchi anaenda kuwapa wananchi wake Magwangala!!

7: Mbunge wa Bunge anapewa Dakika 10 za kuongea bungeni 3 anaishukuru familia yake 3 anamsifia Rais Mtukufu 4 anawashambulia wabunge wenzake ambao mawazo yanakinzana na Baada ya hapo anasaini posho anaenda baa na kulala hoterini!!

Tutafika nchi ya viwanda kweli?
Nchi ya wagagagigikoko!
 
Back
Top Bottom