Maajabu 7 ya Serikali Mpya ya Tanzania

Maajabu 7 ya Serikali Mpya ya Tanzania

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,651
Reaction score
58,499
1: Bandari inakosa Meli TPA wanakiri mizigo imepunga alafu serikali inasema hakuna mizigo Iliyopungua!!

2: V.A.T inapanda Gavana wa Benki kuu anasema hii itakuwa kwa Mteja Waziri wa fedha unakuja na kusema watoa huduma ndio watalipa!!

3: Rais anasimama na Kumuita mwananchi wake vilaza alafu Mwananchi akimuita kilaza anafunguliwa kesi ya jinai na faini ya milioni 7

4: Police anamkamata mtu kwa kosa la kuvuta bangi ambayo ni starehe binafisi anashindwa kukamata watu waliosababisha twiga wetu wakapanda ndege na kupelekwa nje ya nchi!!

5: TBC anashindwa kuonyesha bunge Live Wakati huohuo wanaonyesha Harusi live!!

6: Mikataba ya Nchi inapitishwa kwa hoja ya Dharura kama walivyofanya kwenye Gesi alafu Rais wa nchi anaenda kuwapa wananchi wake Magwangala!!

7: Mbunge wa Bunge anapewa Dakika 10 za kuongea bungeni 3 anaishukuru familia yake 3 anamsifia Rais Mtukufu 4 anawashambulia wabunge wenzake ambao mawazo yanakinzana na Baada ya hapo anasaini posho anaenda baa na kulala hoterini!!

Tutafika nchi ya viwanda kweli?
 
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 Kila jambo na wakati wake........
 
1: Bandari inakosa Meli TPA wanakiri mizigo imepunga alafu serikali inasema hakuna mizigo Iliyopungua!!

2: V.A.T inapanda Gavana wa Benk kuu na Maneno wanasema hii itakuwa kwa Mteja Waziri wa fedha unakuja na kusema watoa huduma ndio watalipa!!

3: Rais anasimama na Kumuita mwananchi wake ****** alafu Mwananchi akimuita ****** anafunguliwa kesi ya jinai na faini ya milioni 7

Namba 7 imenibamba........
 
Makala yako nzur mkuu..
Ila #7 imepenyaaaa
 
8. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ni mmoja wa wadaiwa sugu wa mashirika mawili ya serikali.
 
Nchi ya viwanda vya kufiyatua watoto ila hakuna chakula cha msaada. Mwaka kesho njaa
 
Back
Top Bottom