jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,782
Ukiipata mkuu tujulishaneWacha tuitafute

Mkuu kwa sababu umefikiri technically na kupata maajabu 7 yanayopatikana TZ pekee, unaonaje kama tukiyapigia kura ili yaingie kwenye Guiness book of record? Haya mambo yanapatikana TZ tu....Bravo technical thinker.Haaah uchochezi umebadilika hawamu hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]1: Bandari inakosa Meli TPA wanakiri mizigo imepunga alafu serikali inasema hakuna mizigo Iliyopungua!!
2: V.A.T inapanda Gavana wa Benki kuu anasema hii itakuwa kwa Mteja Waziri wa fedha unakuja na kusema watoa huduma ndio watalipa!!
3: Rais anasimama na Kumuita mwananchi wake ****** alafu Mwananchi akimuita ****** anafunguliwa kesi ya jinai na faini ya milioni 7
4: Police anamkamata mtu kwa kosa la kuvuta bangi ambayo ni starehe binafisi anashindwa kukamata watu waliosababisha twiga wetu wakapanda ndege na kupelekwa nje ya nchi!!
5: TBC anashindwa kuonyesha bunge Live Wakati huohuo wanaonyesha Harusi live!!
6: Mikataba ya Nchi inapitishwa kwa hoja ya Dharura kama walivyofanya kwenye Gesi alafu Rais wa nchi anaenda kuwapa wananchi wake Magwangala!!
7: Mbunge wa Bunge anapewa Dakika 10 za kuongea bungeni 3 anaishukuru familia yake 3 anamsifia Rais Mtukufu 4 anawashambulia wabunge wenzake ambao mawazo yanakinzana na Baada ya hapo anasaini posho anaenda baa na kulala hoterini!!
Tutafika nchi ya viwanda kweli?
Bungeni tarajia ni tamko LA simu kutoingia bungeniWapi hiyo?
Hakika yote uliyoandika sijaona hata pumba moja asante sana1: Bandari inakosa Meli TPA wanakiri mizigo imepunga alafu serikali inasema hakuna mizigo Iliyopungua!!
2: V.A.T inapanda Gavana wa Benki kuu anasema hii itakuwa kwa Mteja Waziri wa fedha unakuja na kusema watoa huduma ndio watalipa!!
3: Rais anasimama na Kumuita mwananchi wake ****** alafu Mwananchi akimuita ****** anafunguliwa kesi ya jinai na faini ya milioni 7
4: Police anamkamata mtu kwa kosa la kuvuta bangi ambayo ni starehe binafisi anashindwa kukamata watu waliosababisha twiga wetu wakapanda ndege na kupelekwa nje ya nchi!!
5: TBC anashindwa kuonyesha bunge Live Wakati huohuo wanaonyesha Harusi live!!
6: Mikataba ya Nchi inapitishwa kwa hoja ya Dharura kama walivyofanya kwenye Gesi alafu Rais wa nchi anaenda kuwapa wananchi wake Magwangala!!
7: Mbunge wa Bunge anapewa Dakika 10 za kuongea bungeni 3 anaishukuru familia yake 3 anamsifia Rais Mtukufu 4 anawashambulia wabunge wenzake ambao mawazo yanakinzana na Baada ya hapo anasaini posho anaenda baa na kulala hoterini!!
Tutafika nchi ya viwanda kweli?
Serikali ni ile ile kama ingekuwa makini wangekuwa washapatikanahili la twiga na mikataba hivi ni la awamu ya tano
Hiyo ni dawa pia ni stareheKusema bangi starehe binafsi
Hayo magwangwala ni kama mapanki , hakika watu wa kanda ya ziwa wanadharauliwa sana !1: Bandari inakosa Meli TPA wanakiri mizigo imepunga alafu serikali inasema hakuna mizigo Iliyopungua!!
2: V.A.T inapanda Gavana wa Benki kuu anasema hii itakuwa kwa Mteja Waziri wa fedha unakuja na kusema watoa huduma ndio watalipa!!
3: Rais anasimama na Kumuita mwananchi wake ****** alafu Mwananchi akimuita ****** anafunguliwa kesi ya jinai na faini ya milioni 7
4: Police anamkamata mtu kwa kosa la kuvuta bangi ambayo ni starehe binafisi anashindwa kukamata watu waliosababisha twiga wetu wakapanda ndege na kupelekwa nje ya nchi!!
5: TBC anashindwa kuonyesha bunge Live Wakati huohuo wanaonyesha Harusi live!!
6: Mikataba ya Nchi inapitishwa kwa hoja ya Dharura kama walivyofanya kwenye Gesi alafu Rais wa nchi anaenda kuwapa wananchi wake Magwangala!!
7: Mbunge wa Bunge anapewa Dakika 10 za kuongea bungeni 3 anaishukuru familia yake 3 anamsifia Rais Mtukufu 4 anawashambulia wabunge wenzake ambao mawazo yanakinzana na Baada ya hapo anasaini posho anaenda baa na kulala hoterini!!
Tutafika nchi ya viwanda kweli?
Moderator hivi adhabu kwa wanaochakachua thread siku hizi imefutwa ?Maajabu ya Mbowe mtetea wanyonge kukwepa kodi na kufukuzwa billicanas
ImekuingiaModerator hivi adhabu kwa wanaochakachua thread siku hizi imefutwa ?