mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,171
unachochea ahaaa, subiri waje wenye mapovu hapa utawaona
Wapo gizanihiyo namba tano hiyo mzee, duh,
Mpaka kuna wabunge uwa unakaa unawafikiria hivi wapo na faida gani kwa jamii?Namba 7 ni 100%
kaaazi kwelikweli!mkuu anasema dakika tano ni nyingi kumshughulikia atakae leta fyoko fyoko hahahaaa.
Mkuu sasa hivi hayajui haya ila ngoja ifike 2019 ndiyo atauona upepo ulivyo. Kuna majoka yamo ndani ya chama cha mafisi yanasubiri muda ufike yaanze kumgongaAnakibebesha chama heavily weight cargo
Teh teh teh tehMtukufu anawaita watoto wa masikini waliopata dv1ya sayansi vila......... wakati huo huo Jescar....... yupo chuoni na dv 4.......... [emoji28][emoji28]
Kwenye uzi kama huu huwezi kumuona akiwa na mafisi wenzielizaboniiiii
8.Ujenzi wa reli ya kati kwa standard gauge1: Bandari inakosa Meli TPA wanakiri mizigo imepunga alafu serikali inasema hakuna mizigo Iliyopungua!!
2: V.A.T inapanda Gavana wa Benki kuu anasema hii itakuwa kwa Mteja Waziri wa fedha unakuja na kusema watoa huduma ndio watalipa!!
3: Rais anasimama na Kumuita mwananchi wake ****** alafu Mwananchi akimuita ****** anafunguliwa kesi ya jinai na faini ya milioni 7
4: Police anamkamata mtu kwa kosa la kuvuta bangi ambayo ni starehe binafisi anashindwa kukamata watu waliosababisha twiga wetu wakapanda ndege na kupelekwa nje ya nchi!!
5: TBC anashindwa kuonyesha bunge Live Wakati huohuo wanaonyesha Harusi live!!
6: Mikataba ya Nchi inapitishwa kwa hoja ya Dharura kama walivyofanya kwenye Gesi alafu Rais wa nchi anaenda kuwapa wananchi wake Magwangala!!
7: Mbunge wa Bunge anapewa Dakika 10 za kuongea bungeni 3 anaishukuru familia yake 3 anamsifia Rais Mtukufu 4 anawashambulia wabunge wenzake ambao mawazo yanakinzana na Baada ya hapo anasaini posho anaenda baa na kulala hoterini!!
Tutafika nchi ya viwanda kweli?
usisahau wanafunzi hewa8.Ujenzi wa reli ya kati kwa standard gauge
9.Kuondoa Watumishi hewa
Ulikua umesahau
Hiyo namba 7 hiyo 7 imenifurahisha sana.1: Bandari inakosa Meli TPA wanakiri mizigo imepunga alafu serikali inasema hakuna mizigo Iliyopungua!!
2: V.A.T inapanda Gavana wa Benki kuu anasema hii itakuwa kwa Mteja Waziri wa fedha unakuja na kusema watoa huduma ndio watalipa!!
3: Rais anasimama na Kumuita mwananchi wake ****** alafu Mwananchi akimuita ****** anafunguliwa kesi ya jinai na faini ya milioni 7
4: Police anamkamata mtu kwa kosa la kuvuta bangi ambayo ni starehe binafisi anashindwa kukamata watu waliosababisha twiga wetu wakapanda ndege na kupelekwa nje ya nchi!!
5: TBC anashindwa kuonyesha bunge Live Wakati huohuo wanaonyesha Harusi live!!
6: Mikataba ya Nchi inapitishwa kwa hoja ya Dharura kama walivyofanya kwenye Gesi alafu Rais wa nchi anaenda kuwapa wananchi wake Magwangala!!
7: Mbunge wa Bunge anapewa Dakika 10 za kuongea bungeni 3 anaishukuru familia yake 3 anamsifia Rais Mtukufu 4 anawashambulia wabunge wenzake ambao mawazo yanakinzana na Baada ya hapo anasaini posho anaenda baa na kulala hoterini!!
Tutafika nchi ya viwanda kweli?
2: V.A.T inapanda Gavana wa Benki kuu anasema hii itakuwa kwa Mteja Waziri wa fedha unakuja na kusema watoa huduma ndio watalipa!!
4: Police anamkamata mtu kwa kosa la kuvuta bangi ambayo ni starehe binafisi
7: Mbunge wa Bunge anapewa Dakika 10 za kuongea bungeni 3 anaishukuru familia yake 3 anamsifia Rais Mtukufu 4 anawashambulia wabunge wenzake ambao mawazo yanakinzana na Baada ya hapo anasaini posho anaenda baa na kulala hoterini!!
Sawa mkuu nipo Dodoma naanda maandamano ya kudai bunge lionyeshwe liveZinduka mkuu tukaujenge ukuta kwa awamu ya pili oct mosi[emoji16][emoji16][emoji16]
PamojaZinduka mkuu tukaujenge ukuta kwa awamu ya pili oct mosi[emoji16][emoji16][emoji16]