MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,199
Kweli mkuu ni mtendaji na huenda akafanikiwa kwa mengi, ila atakiacha chama pagumu sana baada ya kuondoka.
Namba tunaisoma Kwa kweli... Soon tunaanza kuiandikamkuu anasema dakika tano ni nyingi kumshughulikia atakae leta fyoko fyoko hahahaaa.
Wachochezi sijaona wanalumumbaHehehehe msiongeege mambo ya ukweli humu
Hahahajamkuu anasema dakika tano ni nyingi kumshughulikia atakae leta fyoko fyoko hahahaaa.
Msukuma msema kweliWewe ni M-chochezi
Wabheja nkoiMsukuma msema kweli
Anakibebesha chama heavily weight cargoKweli mkuu ni mtendaji na huenda akafanikiwa kwa mengi, ila atakiacha chama pagumu sana baada ya kuondoka.
Poa mkuu asanteUmeua aiseee
Kiukweli nakukubali sana mkuu wangu.ila Leo nasikia msigwa kachana mbaya ila clip sijaonaPoa mkuu asante
Wapi hiyo?Kiukweli nakukubali sana mkuu wangu.ila Leo nasikia msigwa kachana mbaya ila clip sijaona
Bungeni mkuuWapi hiyo?
Wacha tuitafuteBungeni mkuu