Kelvin X
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,940
- 2,403
atakua ndo Abunuasi mwenyewrHahaha utakuwa dogoo

Sasa wewe unashiba siku hizi?9. Demokrasia ya kwel ni mtu kushiba
Mdau,ni hili hili tu la kuifurahia namba saba au kuna lingine,nashukuru kwa maneno yote uloyaandika,Upumb@fu ni wangu na urof@ ni wangu ila UKIL@Z@ ni wako😉 na pia hilo si jina langu ila ni ID yangu ya hapa JamiiForumsJina lako la Kigoli linaonesha hujui kitu Kabisa! Harufu ya upumbavu na ulofa inakusumbua
Cc Mchochezi1: Bandari inakosa Meli TPA wanakiri mizigo imepunga alafu serikali inasema hakuna mizigo Iliyopungua!!
2: V.A.T inapanda Gavana wa Benki kuu anasema hii itakuwa kwa Mteja Waziri wa fedha unakuja na kusema watoa huduma ndio watalipa!!
3: Rais anasimama na Kumuita mwananchi wake ****** alafu Mwananchi akimuita ****** anafunguliwa kesi ya jinai na faini ya milioni 7
4: Police anamkamata mtu kwa kosa la kuvuta bangi ambayo ni starehe binafisi anashindwa kukamata watu waliosababisha twiga wetu wakapanda ndege na kupelekwa nje ya nchi!!
5: TBC anashindwa kuonyesha bunge Live Wakati huohuo wanaonyesha Harusi live!!
6: Mikataba ya Nchi inapitishwa kwa hoja ya Dharura kama walivyofanya kwenye Gesi alafu Rais wa nchi anaenda kuwapa wananchi wake Magwangala!!
7: Mbunge wa Bunge anapewa Dakika 10 za kuongea bungeni 3 anaishukuru familia yake 3 anamsifia Rais Mtukufu 4 anawashambulia wabunge wenzake ambao mawazo yanakinzana na Baada ya hapo anasaini posho anaenda baa na kulala hoterini!!
Tutafika nchi ya viwanda kweli?
1: Bandari inakosa Meli TPA wanakiri mizigo imepunga alafu serikali inasema hakuna mizigo Iliyopungua!!

View attachment 398976chukua hiyo Eid mkuu
Ha ha ha1: Bandari inakosa Meli TPA wanakiri mizigo imepunga alafu serikali inasema hakuna mizigo Iliyopungua!!
2: V.A.T inapanda Gavana wa Benki kuu anasema hii itakuwa kwa Mteja Waziri wa fedha unakuja na kusema watoa huduma ndio watalipa!!
3: Rais anasimama na Kumuita mwananchi wake ****** alafu Mwananchi akimuita ****** anafunguliwa kesi ya jinai na faini ya milioni 7
4: Police anamkamata mtu kwa kosa la kuvuta bangi ambayo ni starehe binafisi anashindwa kukamata watu waliosababisha twiga wetu wakapanda ndege na kupelekwa nje ya nchi!!
5: TBC anashindwa kuonyesha bunge Live Wakati huohuo wanaonyesha Harusi live!!
6: Mikataba ya Nchi inapitishwa kwa hoja ya Dharura kama walivyofanya kwenye Gesi alafu Rais wa nchi anaenda kuwapa wananchi wake Magwangala!!
7: Mbunge wa Bunge anapewa Dakika 10 za kuongea bungeni 3 anaishukuru familia yake 3 anamsifia Rais Mtukufu 4 anawashambulia wabunge wenzake ambao mawazo yanakinzana na Baada ya hapo anasaini posho anaenda baa na kulala hoterini!!
Tutafika nchi ya viwanda kweli?
8. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ni mmoja wa wadaiwa sugu wa mashirika mawili ya serikali.
Saa 3 asubuhi TBC ya taifa inaonyesha TBC ya China,,,,hiyo namba tano hiyo mzee, duh,
Alafu tunasema nchi ipo Sirius?Saa 3 asubuhi TBC ya taifa inaonyesha TBC ya China,,,,
Unalipia lakini kila mwisho wa mwaka wanataka budgetKwani ile harusi TBC ni bure au unalipia?
Du hii kweli kazi. Maajabu 7 uliyoyataja umetumia vigezo vipi kuita maajabu. Ama umetumia vigezo vya upeo wako wa kufikiri kiongozi. Tumezoea kupigia kura mlima Kilimanjaro uingie katika moja maajabu ya dunia sasa naomba ufafanue tu kidogo kiongozi1: Bandari inakosa Meli TPA wanakiri mizigo imepunga alafu serikali inasema hakuna mizigo Iliyopungua!!
2: V.A.T inapanda Gavana wa Benki kuu anasema hii itakuwa kwa Mteja Waziri wa fedha unakuja na kusema watoa huduma ndio watalipa!!
3: Rais anasimama na Kumuita mwananchi wake ****** alafu Mwananchi akimuita ****** anafunguliwa kesi ya jinai na faini ya milioni 7
4: Police anamkamata mtu kwa kosa la kuvuta bangi ambayo ni starehe binafisi anashindwa kukamata watu waliosababisha twiga wetu wakapanda ndege na kupelekwa nje ya nchi!!
5: TBC anashindwa kuonyesha bunge Live Wakati huohuo wanaonyesha Harusi live!!
6: Mikataba ya Nchi inapitishwa kwa hoja ya Dharura kama walivyofanya kwenye Gesi alafu Rais wa nchi anaenda kuwapa wananchi wake Magwangala!!
7: Mbunge wa Bunge anapewa Dakika 10 za kuongea bungeni 3 anaishukuru familia yake 3 anamsifia Rais Mtukufu 4 anawashambulia wabunge wenzake ambao mawazo yanakinzana na Baada ya hapo anasaini posho anaenda baa na kulala hoterini!!
Tutafika nchi ya viwanda kweli?
1: Bandari inakosa Meli TPA wanakiri mizigo imepunga alafu serikali inasema hakuna mizigo Iliyopungua!!
2: V.A.T inapanda Gavana wa Benki kuu anasema hii itakuwa kwa Mteja Waziri wa fedha unakuja na kusema watoa huduma ndio watalipa!!
3: Rais anasimama na Kumuita mwananchi wake ****** alafu Mwananchi akimuita ****** anafunguliwa kesi ya jinai na faini ya milioni 7
4: Police anamkamata mtu kwa kosa la kuvuta bangi ambayo ni starehe binafisi anashindwa kukamata watu waliosababisha twiga wetu wakapanda ndege na kupelekwa nje ya nchi!!
5: TBC anashindwa kuonyesha bunge Live Wakati huohuo wanaonyesha Harusi live!!
6: Mikataba ya Nchi inapitishwa kwa hoja ya Dharura kama walivyofanya kwenye Gesi alafu Rais wa nchi anaenda kuwapa wananchi wake Magwangala!!
7: Mbunge wa Bunge anapewa Dakika 10 za kuongea bungeni 3 anaishukuru familia yake 3 anamsifia Rais Mtukufu 4 anawashambulia wabunge wenzake ambao mawazo yanakinzana na Baada ya hapo anasaini posho anaenda baa na kulala hoterini!!
Tutafika nchi ya viwanda kweli?
Daaaah so sadTatizo Tanzania Inaongozwa Na Mtu Mithili ya Mlevi anayewakunywesha watu Pombe Baa, huku Watoto wake asubuhi Kifuungua Kinywa Ni Mahindi ya Kukaanga na Maji! Kwanini Nasema Hivi, angalia Ukosefu wa Madawa Lakini Ndege za ATC zisizo na Tija Kubwa kwa Mwananchi wa Kawaida Zinanunuliwa Cash!
Kwanini Nasema Hivyo, Wakati Majengo ya Kutafuta Sifa yakijengwa, Watoto wa Masikini, Wanakosa Mikopo ya Kuwawezesha Kupata Elimu ya Kubadilisha sura ya Maisha kwa ajili yao na Kwa Taifa!
Kwanini Nasema Hivyo, Wakati Waalimu wanakosa Mishahara, Mkuu anatamba Kuwa Bado ananunua tena Ndege Nyingine 2 Cash? Huku Wazabuni wandani Wakiidai Serikali Kila Kona, Kiasi wanashindwa Kuingiza Madawa na Vifaa vya Hospitali.
Nilisikia Mwendawazimu Trump akisema, "I Alone Can Fix it" Nikatamani Kama Ningekuwa na Uwezo wa Kuongea nae Nimuulize Swali Moja Tu, "Mhishimiwa Trump? Je Ndugu yangu wewe Una Pacha wako Tanzania?
Kwani we ulitakaje?Du hii kweli kazi. Maajabu 7 uliyoyataja umetumia vigezo vipi kuita maajabu. Ama umetumia vigezo vya upeo wako wa kufikiri kiongozi. Tumezoea kupigia kura mlima Kilimanjaro uingie katika moja maajabu ya dunia sasa naomba ufafanue tu kidogo kiongozi