Utakamatwa weweeeee ohooo
Utakamatwa weweeeee ohooo
Haina umuhimu wowote, life style ndio itafanya uwe mkakamavu au usiwe.. Huyo hana tofauti na mtu ambae hajawahi gusa kambiInawezekana ikawa na umuhimu wake kiongozi coz hii inawezekana baada ya kupata nafasi msosi ukazidi ndio likapatikana hilo umbo mkuu.
Ni Hatari Sana.
Sasa hawa si ndio wanatakiwa kushushwa ktk jeshi la sungusungu jomon???Wana sifa ya kuwa askari polisi kweli?
Absolutely hakuna kitu hapoKitambi kinafyonza Mbomboo apo Kibamia ni compulsory