Maadili: ITV kama kawa, Lulu Full uchi

Maadili: ITV kama kawa, Lulu Full uchi

Jamani, mambo mengine ni kumtafuta mtu sehemu ambayo hayuko. Wale wasanii wa maigizo wanaoigiza juu ya maisha ya jadi mara maisha ya kitemi, mara nini, na wacheza ngoma za jadi, mara nyingi wanafunga nguo sehemu ya viunoni na zinaishia magotini, halafu juu wanafunga kipande kinachokatiza kifuani na kufungiwa mgongoni. Mara nyingi wamekuwa wakipongezwa kwa kudumisha ama kusimamia tamaduni na mila zetu. Sijawahi kusikia wakiambiwa wanadumisha mila wakiwa uchi.

Sasa hawa wanasifiwa kwa sababu wanaonekana kikijiji na hawawaki kama lulu? Au kwa kuwa wanavaa makaniki?

Double standards za nini?

Si vizuri kutaka kumkosesha mtu amani kwa kumuandama na maneno hata pale pasipostahili. Sioni shida kwa vazi la lulu. Anayo matatizo yake mengi ya kumtosha na ya akiba hadi uzeeni. Wa muache pale aapostahili kupumzika.

Ujinga ujinga, umbea umbea, kukosa kazi ili lmradi tu wanataka kumsakama mtu. Hii si sahihi.

Kama kifua hicho ndiyo uchi, wawkataze na wacheza sanaa wanao acha vifua na migongo na matumbo wazi kwa kuonyesha michezo ya utamaduni wa asili.

Ha ha ha

Labda uchi wa matiti. ......
 
SAUTI ilikuwa mbovu sana kupita Maelezo na lulu alikuwa kama kituko make up ilipitiza vinyonyo vilikuwa havikutunzwa ipasavyo kwa ufupi no shida kwa kwenda mbele
 
Wakuu angalieni ITV sasa hivi kama kawaida yao.
Yaani wao wakilipwa wanafanya lolote,Lulu Live kwenye Kipindi cha kuchagua mshindi.
Sasa nashangaa,hii Sanaa badala ya kuzingatia maadili ndio kwanza inapoteza maadili,na mle kuna mtoto wa under 14.
Yaani nilikuwa naangalia na shemeji zangu nimahamia chumbani.
Hii kazi kweli.

Una degree ya uongo! Sasa kama huo ni uchi na uchi utaitaje?
 
Lulu wazee walishamuharibu akili yake! sasa bado nae aingie 'msituni' kama yule tumbotumbo wake!
 
Lulu anachukiwa na wengi kwa matendo yake ambayo si ya kawaida kwa mtoto wa umri wake. Ufuska wa kutembea na kina Komba wa kwaya, ritz 1, waarabu na pia ujasiri wake wa mambo magumu isivyo kawaida. Ni kweli lulu siyo wa kawaida. Lakini alaumiwe pale anapokuwa kaharibu na bila kuwaacha waharibifu wenzie kama hlo ji babu komba la ccm.

Kumtukana kila wakati hata pale hajakosea, inamfanya awe sugu kwa kujua hata asipokosea yeye hutukanwa tu kwa sababu ni Eliza. Hata siku amekosea ukamwonya, hawezi kujua ni wakati upi anasemwa kwa makosa na wakati gani ni kwa hobby ya watukanaji.

kuna watu wanamchukiaga tu huyu dogo...
 
Jamani me katika yote nilifurahishwa na MC pilipili Jamaa anachekesha balaaaa
 
Wakuu angalieni ITV sasa hivi kama kawaida yao.
Yaani wao wakilipwa wanafanya lolote,Lulu Live kwenye Kipindi cha kuchagua mshindi.
Sasa nashangaa,hii Sanaa badala ya kuzingatia maadili ndio kwanza inapoteza maadili,na mle kuna mtoto wa under 14.
Yaani nilikuwa naangalia na shemeji zangu nimahamia chumbani.
Hii kazi kweli.

we ni wa maadili a lakn we hauna
 
Lulu anachukiwa na wengi kwa matendo yake ambayo si ya kawaida kwa mtoto wa umri wake. Ufuska wa kutembea na kina Komba wa kwaya, ritz 1, waarabu na pia ujasiri wake wa mambo magumu isivyo kawaida. Ni kweli lulu siyo wa kawaida. Lakini alaumiwe pale anapokuwa kaharibu na bila kuwaacha waharibifu wenzie kama hlo ji babu komba la ccm.

Kumtukana kila wakati hata pale hajakosea, inamfanya awe sugu kwa kujua hata asipokosea yeye hutukanwa tu kwa sababu ni Eliza. Hata siku amekosea ukamwonya, hawezi kujua ni wakati upi anasemwa kwa makosa na wakati gani ni kwa hobby ya watukanaji.

hawa wanaomchukia matendo yake, wao ni wasafi vipi? unajua uchafu ni pamoja na kumchukia mtu!!!!
Mi binafsi naona wengi wanamwonea wivu kwa alipofikia. Watazame hao wanaomchukia na kuwauliza hasa sababu, hakuna la maana. Kama ni kuua, kuna wauaji wangapi Tanzania hii? Kama ni kutembea na watu tofauti, wangapi hufanya hivyo? kama ni kuvaa vibaya, ni yeye pekee tu ndie anaevaa vibaya? Kama ni yote kwa pamoja, kipi ni kipya kilichofanywa na huyo mtoto? Lets be honest bhana... huyu mtu nina hakika kuna mazuri aliyofanya, hawa haters wake wanayaongeleaga hayo? Kama humpendi mtu its better kumuavoid kuliko kumpiga majungu yasiyokua na lazima...
 
Back
Top Bottom