SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
Hata mimi nimeona, tangia mwanzo alionyesha bidii ya hali ya juu, nakumbuka siku ya kwanza kabisa aliigiza kama teja, Naona TMT hawajachakachua kura zetu. Big up Mwanaafa, BIG up TMT
Nchi haina maadili ,wasimamizi wa maadili yenyewe ndio vilaza wakubwa,
Kweli kabisa vazi kama hili ni sio la kuvaa kwenye tv. Kwa maadili ya tzView attachment 181607
Mume bwe-ge style
Mbona sijaona uchi wowote pale
Kweli kabisa vazi kama hili ni sio la kuvaa kwenye tv. Kwa maadili ya tzView attachment 181607