Maadili: ITV kama kawa, Lulu Full uchi

Maadili: ITV kama kawa, Lulu Full uchi

wee nawe mpaka leo unaishi na shemeji zako acha upopo wewe...watimue.

avatar65202_4.gif


cc Zanzibar Spices.
 
Last edited by a moderator:
Mbona mimi sijaona cha ajabu sana hapo mkuu?
Sehemu za kifua kuonekana ni jambo la kawaida, ili mradi hayuko kanisani au msikitini.
Wapi kawaida? hebu tujaalie uko nyumbani kwako una kabiti chako cha miaka 17 mpaka 20 , halafu wamekuja vijana (rafiki /jirani)kukutembelea , kabinti kako kanapitapita ukumbini ,je utaridhika na uchokozi wa nafsi wanofanyiwa hao vijana na hako kabinti kako? au mke alete hizo mambo mbele ya wageni/rafiki zako?
Na huko ulipopiga marufuku misikitini na makanisani kwa vigezo gani?kwamba mungu atachukiia ila waumini wengine wataona kama 'pambio' la mandhari tu?
Lile vazi halifai ,period,na kama wewe ni wa "me" basi una hitilafu maana lile vazi pure invitation!pale utapenda bila kumpenda na utataka bila kumtaka !ukiwa na ufahamu utanifahamu!
 
Back
Top Bottom