Hah hah hah hilo halina mjadala kuanguka lazima tatizo anategemea sana wanadamu kwenye maisha yake na anayemtegemea ameshaaga dunia naona anamwingine japo hajawa rasmi kama yahaya , leo labda wampe neno la mungu la sivyo mweleka uko pale pale.jamani mshaurini nape aache kujicream ushauri wa bure.
sasa ndio najua tatizo letu watanzania ni CCM, ebu fanyeni hesabu, chama kilizaliwa 5/2/1977 leo tare 5/2/2012 ni miaka mingapi? mimi kwa kesabu zangu hii ni miaka 34! sasa wenzetuuu hiiii 35 yatoka wapi????
Hapo lazima tufikirie :Je gharama inayotumika leo kukodi malori kusomba watu kutoka huku na kule,kuwaleta hapa ccm kirumba,kwa nini zisingepelekwa kuwalipa madaktari?????Pamoja na ukata mkali lakini bado kuna "nyomi" CCM .Hapa kweli Dr. Bana anasema magamba hawana mbadala.
![]()
![]()
thibitisha kwa kutuonyesha picha,vinginevyo acha uongo wakoNiko hapa mwanza ndani ya daladala kuelekea buswelu.Njiani ni msululu wa malori yamejaza watu.jua ni kali mno na inaonekana hawa watu wanatokea mawilayani.Hii hali ya kulundika watu kwenye malori mchana na jua kali ni udhalilishaji wa binadamu.mbaya zaidi waliobebwa wanaonekana wamechoka sana na hawana raha kabisa yaani kama wamelazimishwa vile
watu wameisha uwanjani. by dubu.