Maadhimisho ya miaka 35 ya CCM live Star tv

Maadhimisho ya miaka 35 ya CCM live Star tv

Pamoja na ukata mkali lakini bado kuna "nyomi" CCM .Hapa kweli Dr. Bana anasema magamba hawana mbadala.

download+(40).jpg




download+(41).jpg
Mkuu baada ya nyomi hii kipi kinaendelea? Mwanza nawafahamu, hawadanganyiki hapa ni kama ile methali isemayo".... ndio waliwao"
 
Watu wameponda lakini moyoni wamekubali CCM bwana!!!
 
Back
Top Bottom