Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
leo juice inanywewa hadharani uwanjani sio ikulu tena.
Hiari ya shinda utumwa, wamehiari waache waipate.Niko hapa mwanza ndani ya daladala kuelekea buswelu.Njiani ni msululu wa malori yamejaza watu.jua ni kali mno na inaonekana hawa watu wanatokea mawilayani.Hii hali ya kulundika watu kwenye malori mchana na jua kali ni udhalilishaji wa binadamu.mbaya zaidi waliobebwa wanaonekana wamechoka sana na hawana raha kabisa yaani kama wamelazimishwa vile
Huwa inashangaza sana hawa watu wanaoletwa na malori maana huwa ni kazi kuwatuliza ili wasikilize hotuba. Mara nyingi huwa wanafurahia kubebwa kwenye gari si unajua kijijini watu kubebwa kwenye gari ni bonge la previledge! Inabidi wawazuie kutoka maana mambo ya kutumbiza wasanii yakishaisha tu wanaanza kuhaha kutoka na kwenda zao. Ukiwauliza hata kilichoongelewa kwenye hotuba hawezi kusema chochote. Ccm mara nyingi huwa hawajui kama huwa wanahutubiana wenyewe tu kwenye jukwaa kuu maanA umati wa watu huku chini huwa wako bize na mambo yao tofauti kabisa na mikutano kama ya chadema ambapo kila mtu hutaka kusikia kinachoongelewa.
Kama za DAVOS nini?manufactring of teachers,etc......me naangalia wanawake live,maana bora hata kwa kina mama naweza gain chochoteana shusha nondo za kufa mtu uwanja wote umezizima.......!!!