Maadhimisho ya miaka 35 ya CCM live Star tv

Maadhimisho ya miaka 35 ya CCM live Star tv

Ahutubie akiwa amekaa inaruhusiwa jamani. Hawa jamaa zake ndio wanamwangusha. wanajua jamaa hajapumzika tangu lini lakini wanam-over work. Waache ni mbaya. Wamwekee ratiba na wahakikishe inafuatwa. Obama mwenyewe anafuata ratiba. Wakiona amechoka wamkalishe bana. HATUTAKI AIBU KIMATAIFA
 
sasa wanampeleka suma lee wanamwancha hussein machozi na songi lake la jela....
 
Mimi ni CCM damu, ila siunge mkono wehu wengi walioko madarakani, wangekua poa tusingepoteza majob=mbo mengi, inaonyesha jinsi ubinafsi na uchovu uliopo. Nataka kusema nini, Uwanjani naona waliokimbilia kwenye Jukwaa la Wasanii ni nyekundunyekundu fulani hivi sioni Kijani kama nilivyotarajia, mavazo ya kawaida ni mengi. Maana yake nini, waliokuwa wanapita na wasio na shughuli mjini wamesikia habari ya pilau na mziki mkubwa unaongurumishwa Kirumba lazima ukimbilie kuona kulikoni.... si unatujua watanzania hata Bomu tunalikimbilia. Natumaini kuna Ambulance na Redcross wakutosha uwanjani, maana raia wengi wasiowahi kuona matamasha watakuwa wameingia
 
Wanaume wa ccm mnafanya nini!wake zenu wameolewa na nape na viongozi wengine wa ccm!hamuoni aibu?
 
Hawa mnaowataka akina Lee na mwenzake niMakada waaminifu wa CCM ? Wako mikoa gani na nafasi zao ni zipi ? Wameshakuupinga ufisadi na ongezeko la posho au ni maarufu ? Hussein Bashe hukohajaenda ?Nipe shule kidogo kuhusu hao mliowataja tafadhali
 
yaaani kama ni supu basi CCM ni supu ya utumbo wa bata
 
Hiyo ndiyo CCM. Kama ulikuwa huijui basi ijue leo. Dhambi ni maisha yao. Dharau ni namna yao ya kuishi. Ulafi ni bidii yao. Ubinafsi ndiyo sifa yao kuu.
 
Hawa watu lazima wamesombwa na malori

Mkuu kama ulikuwepo kwani tangu juzi maloro yanasomba watu kutoka mikoa ya mara, shinyanga, na kagera na wilaya zote za mwanza, leo kulikuwa na zaidi ya mabasi 30 yakisomba watu, zikiwemo daladala, ila kilichonishangaza ni pale watu walipokuwa wakisombwa hata hazizidi km5 ili mradi tuu uwanja uenekane umejaa, ila kikubwa zaidi kilichowavutia watu kwenda ni zaidi ya ng'ombe 50 zilizotangazwa kuchinjwa, sasa sishangai kwani ccm imeamua kufanya watu washindwe hata kupata mlo wa mchana ili pale wanapotangaza chakula kwenye mikutano yao basi wawapate watu wa kutosha,
ila kama watu wanakupenda watakuja tuu tena kwa ghalama zao, ila kuwafuata kwa mabasi na kuwachinjia ng'ombe na kula wali ni ishara kuwa ccm inaamini watu hawawakubali ndoo maana wanatumia njaa za watanzania kujaza uwanja, poleni sana watanzania wote mliokuwa na njaa na kuamua kwenda uwanja wa kirumba japo najua hamuikubali ccm.
 
katibu mkuu,mukama anasema CCm haina msongo wa mawazo,ni imara na inazidi kuwa imara.
 
Hahahahaaaa eti CCM iko Imara na haina Msogo wa Mawazo...Mukama bana!
 
anaielezea dhana ya kujivua gamba aliyoiasisi mwenyekit wa ccm pale dodoma ambayo lengo lake ilikwa ni kufanya mageuzi ndani ya chama
 
Huu umati wa watu unanifanya nitamani nilie,kama ikiwa hawa wote wanaiunga mkono CCM au ni wanachama wa CCM...japo najua hapo kuna watu waliotolewa mikoa mingine hasa ya kanda ya ziwa.Lakini pia,hali hii inauzunisha sana wakuu.Kama watu wanakufa kwasababu ya mgomo wa madaktari uliosababishwa na CCM na watu wake bado kuna watu waniunga mkono CCM? Kama mfumuko wa bei sasa ni 20% bado kuna mtu anaiunga mkono CCM? Kama nchi ina ombwe la uongozi na si ajabu kumsikia Spika akiongea tofauti na Raisi kuna watu bado wanaiunga mkono CCM? siamini.Umati huu wa watu unanifanya nitoe machozi.

Na utalia sana kaka, dr. bana kasema mkamkashifu hakuna chama mbadala! inaelekea hukumuelea mbadala maana yake hata kama ccm sio haifanyi vyema bado hakuna altenative hivyo ni lazima watu wachague ccm.
Vyama vya kikanda,kidini na kieneo havina nafasi katika taifa hili.
 
anaielezea dhana ya kujivua gamba aliyoiasisi mwenyekit wa ccm pale dodoma ambayo lengo lake ilikwa ni kufanya mageuzi ndani ya chama

Unadanganywa ww mwenye ufinyu wa kufikiri au mtindio wa ubongo
 
Na utalia sana kaka, dr. bana kasema mkamkashifu hakuna chama mbadala! inaelekea hukumuelea mbadala maana yake hata kama ccm sio haifanyi vyema bado hakuna altenative hivyo ni lazima watu wachague ccm.
Vyama vya kikanda,kidini na kieneo havina nafasi katika taifa hili.

Chama cha kidini ni CCM
 
Back
Top Bottom