Maadhimisho ya miaka 35 ya CCM live Star tv

Maadhimisho ya miaka 35 ya CCM live Star tv

mukama ameelezea utekezaji wa falsafa ya kujivua gamba.sekretariat ya chama ilijivua gamba pamija na kamati kuu
 
Huwa inashangaza sana hawa watu wanaoletwa na malori maana huwa ni kazi kuwatuliza ili wasikilize hotuba. Mara nyingi huwa wanafurahia kubebwa kwenye gari si unajua kijijini watu kubebwa kwenye gari ni bonge la previledge! Inabidi wawazuie kutoka maana mambo ya kutumbiza wasanii yakishaisha tu wanaanza kuhaha kutoka na kwenda zao. Ukiwauliza hata kilichoongelewa kwenye hotuba hawezi kusema chochote. Ccm mara nyingi huwa hawajui kama huwa wanahutubiana wenyewe tu kwenye jukwaa kuu maanA umati wa watu huku chini huwa wako bize na mambo yao tofauti kabisa na mikutano kama ya chadema ambapo kila mtu hutaka kusikia kinachoongelewa.
 
Ahutubie akiwa amekaa inaruhusiwa jamani. Hawa jamaa zake ndio wanamwangusha. wanajua jamaa hajapumzika tangu lini lakini wanam-over work. Waache ni mbaya. Wamwekee ratiba na wahakikishe inafuatwa. Obama mwenyewe anafuata ratiba. Wakiona amechoka wamkalishe bana. HATUTAKI AIBU KIMATAIFA

usinichekeshe mimi..yaani JK ana kazi gani?? yaani jk unamlinganisha na obama??no way
 
Wamesitisha burudani mpaka mkulu amalize kuhutubia umati, wameofia wakimaliza vikundi watu wataondoka na mkulu ataaibika, magamba kazi wanayo. nawasilisha wakuu ntawapa update
 
Hah hah hah hilo halina mjadala kuanguka lazima tatizo anategemea sana wanadamu kwenye maisha yake na anayemtegemea ameshaaga dunia naona anamwingine japo hajawa rasmi kama yahaya , leo labda wampe neno la mungu la sivyo mweleka uko pale pale.jamani mshaurini nape aache kujicream ushauri wa bure.
 
Na utalia sana kaka, dr. bana kasema mkamkashifu hakuna chama mbadala! inaelekea hukumuelea mbadala maana yake hata kama ccm sio haifanyi vyema bado hakuna altenative hivyo ni lazima watu wachague ccm.
Vyama vya kikanda,kidini na kieneo havina nafasi katika taifa hili.
Dr. Bana yule msomi kilaza anayenunuliwa kwa sahani ya ubwabwa kuongea pumba!
 
Mh.mwenyekiti wa CCM sasa ameanza hotuba yake kwa wanachama wa CCM nchi nzima kutokea katika viwanja vya ccm kirumba jijini mwanza
 
kila mkoa na kila wilaya nji nzima wanaadhimisha kuzaliwa kwa ccm kutimiza 35 yrs
 
wanaotubeza tuwapuuze.tutekeleze majukum yetu na malengo tuliyojiwekea-JK
 
hahaaa JF bana ndio maana Rwakatare anaichongea serikalini, lakini hata akianguka leo itakua mswano tu.
 
Tumesherehekea miaka 50 ya uhuru wa nchi yetu tukiwa chini ya uongozi wa ccm
 
Notę: kashauri wana ccm washughulikie na ya kwao, ya wapinzani wayaache, wawaachie wenyewe
 
Back
Top Bottom