hakunaaaaaaaaaaaaaaaaaaaga zaidi ya ................................
Hawa watu lazima wamesombwa na malori
i am ready to face burn ---- we ni punga......
Huu umati wa watu unanifanya nitamani nilie,kama ikiwa hawa wote wanaiunga mkono CCM au ni wanachama wa CCM...japo najua hapo kuna watu waliotolewa mikoa mingine hasa ya kanda ya ziwa.Lakini pia,hali hii inauzunisha sana wakuu.Kama watu wanakufa kwasababu ya mgomo wa madaktari uliosababishwa na CCM na watu wake bado kuna watu waniunga mkono CCM? Kama mfumuko wa bei sasa ni 20% bado kuna mtu anaiunga mkono CCM? Kama nchi ina ombwe la uongozi na si ajabu kumsikia Spika akiongea tofauti na Raisi kuna watu bado wanaiunga mkono CCM? siamini.Umati huu wa watu unanifanya nitoe machozi.
anaielezea dhana ya kujivua gamba aliyoiasisi mwenyekit wa ccm pale dodoma ambayo lengo lake ilikwa ni kufanya mageuzi ndani ya chama
Na utalia sana kaka, dr. bana kasema mkamkashifu hakuna chama mbadala! inaelekea hukumuelea mbadala maana yake hata kama ccm sio haifanyi vyema bado hakuna altenative hivyo ni lazima watu wachague ccm.
Vyama vya kikanda,kidini na kieneo havina nafasi katika taifa hili.
Wewe una mambo ya ubwabwa,toa neno u mbele ya ubwabwa ndo wewe
Chama cha kidini ni CCM
we nyumba ndogo ya mbowe unasemaje wewe.naona jamaa amekuacha kidogo umeanza kuwashwa