Maadhimisho ya miaka 35 ya CCM live Star tv

vicky kamata anaimba eti" mageuzi usiniguse nimeolewa...mume wangu ccm nimekolea". mageuzi usinishe wewe unashombo mume ccm anaweza mambo. hahahaaaa...

Huyo Rais wa Migomo nae kaolewa
 
Confirmed-Hotuba ya Wamachinga imeandikiwa na NAPE na kuwaptia hawa vijna wasome tu

nimeongea na machinjga mmoja mwanza
 
liberatus makene,mwenyekiti wa wamachinga mkoa wa mwanza anasoma risala ya wamachinga kwa Mwenyekiti wa CCM

Kumbe mlango mmoja hawamo? hapa ndipo kituo cha wamachinga mwanza,kama hawa hawamo ,ni hewa tu

Ebu tusubiri kama JK atasema lolote
 
Hi picha ya sio ya leo! Pili umati huu huwa unafuata vitu viwili. Moja ni wasanii wanaoletwa na ccm ktk mikutano na mikusanyiko yao. Pili wanafuata chakula/hela ambazo zinatolewa ilihali wananchi wanakosa huduma za muhimu kama afya elimu etc. Mtalaaniwa wooote mnaohusika na upuuzi huu.
Sure! Jamaa wanasema watawapa msosi wote waliofika pale!Watu wanafata mengi! Sio mapenzi na chama tu!
 
sumaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na hakunaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaga kama ccm ndani ya nyumba sasa
 
Nape ametangaza kuwa wamachinga wamerudi kwa baba yao Kikwete,baada ya kuwa walikuwa wanadanganywa na wapinzania ambao nao huwa wanaenda kuomba kwa mkuu wa wilaya au kwa mkuu wa mkoa.
Hivi wamachinga wa mwanza baba yenu ni Kikwete,maana naona Nape anasisitiza sana kuwa baba yao ni Kikwete
 
ni kweli watu wanaondoka ,inawezekana jua ni kali au watu walifuata wasanii.naona sasa hivi wamempandisha suma lee ili arudishe mzuka na yeye alikuwa hajajiandaa.
 
Sumary! Anasema yeye ndo mme wa wanaosema wasiguswe wameolewa! Jamaa kawatusi kweli!
 
Back
Top Bottom