mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,135
- 2,576
Shida ya kuwashughulikia Masikini badala ya kupambana na Umasikini ni kwamba kila mwaka unakuwa na maadhimisho ya kuondoa Machinga barabarani.
Safari hii kuna nini cha tofauti kitakachofanya wasirudi barabarani? Ulinzi mkali?
Tumbo lenye njaa linauma kuliko rungu la polisi.
Safari hii kuna nini cha tofauti kitakachofanya wasirudi barabarani? Ulinzi mkali?
Tumbo lenye njaa linauma kuliko rungu la polisi.