Ma-super star wa jf...!!

Mkiona hivyo mjue bibi yenu alininyima chakula cha usiku nikalazimika kumfanyia ubakaji.

Babu unajua hilo ni kosa ambalo utafungwa maana Bibi akifikisha mashtaka kuwa umembaka utafungwa
 
Nafurahi kama uko poa. Dena nna hakika hajakuacha, amekusahau kwa bahati mbaya, wiki end nilibanwa kidogo mpendwa... Nilikuwa natembelea ndugu, jamaa na marafiki..
Khaa! kumbe ulikuwa umebanwa kweli? Toilet zilikuwa kwenye mgomo au?
 
Mkiona hivyo mjue bibi yenu alininyima chakula cha usiku nikalazimika kumfanyia ubakaji.
Pole...

sasa kama ulifanikiwa kubaka mbona bado maneno makali hivyo? Afu uache kumsingizia bibi bana..
 
Duh kumbe badooo tu mnalisongesha??, ahsante bana
 
Duh kumbe badooo tu mnalisongesha??, ahsante bana
Sredi litafungwa ntakapoweka list yangu. Yoyote ntakayemtaja ntakuwa nimempa tiketi ya kwenda mbinguni. Itabakia kazi kwake kujitafutia sababu ya kifo chake.
 
Hapa sing'atuki mpaka niione list yako....manake printer yangu haina kazi hapa, nasubiri bandiko lako tu niianzishe
 
Me... like...you
 
Hapa sing'atuki mpaka niione list yako....manake printer yangu haina kazi hapa, nasubiri bandiko lako tu niianzishe
Katika hiyo list yaani wewe, fellow tablet na sweetlady hamuwezi kukosekana. Usikastuie ka Dena Amsi maana kataanza kutamba kuwemo kwenye lsiti ya orijino Babu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…