Ma-secretary wanne katika interview!

Ma-secretary wanne katika interview!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,034
Ma-secretary wanne walikuwa wakijibu maswali kwenye interview. {BOSS}:Mwanamke yeyote ana pair za aina mbili za lips,zitaje!. {MWANAMKE#1}😛air moja ina nywele na nyingine haina nywele.{MWANAMKE#2}😛air moja ina meno na inaweza kuongea na nyingine haina meno na haiwezi kuongea.{MWANAMKE#3}😛air moja iko horizontal na nyingine iko vertical. {MWANAMKE#4}😛air moja ni kwa ajili ya matumizi yangu na pair nyingine ni kwa ajili ya matumizi ya bosi wangu. (SWALI):Unadhani ni mwanamke yupi atakayepewa kazi hii ya u-sekretari?
 
Huyu aliyesema moja ni kwa ajili ya Bosi ningempa kazi..
 
Hiyo ofisi wanafanya kazi gani hadi wanajadili wanawake? WAMA?
 
Back
Top Bottom