A Andrew123 JF-Expert Member Jun 2, 2012 7,046 8,621 Mar 11, 2021 #1 Njaa imezidi kubana kiasi kwamba watu wanachungulia fursa popote. Yaani hakuna kuacha hata kazi ya Buku. Sisi wasanii wadogo tunaponea wapi?
Njaa imezidi kubana kiasi kwamba watu wanachungulia fursa popote. Yaani hakuna kuacha hata kazi ya Buku. Sisi wasanii wadogo tunaponea wapi?
M Michewen JF-Expert Member Jun 27, 2012 24,565 32,210 Mar 11, 2021 #2 andreakalima said: Njaa imezidi kubana kiasi kwamba watu wanachungulia fursa popote. Yaani hakuna kuacha hata kazi ya Buku. Sisi wasanii wadogo tunaponea wapi? Click to expand... Binti pichan ana movie moja matata.
andreakalima said: Njaa imezidi kubana kiasi kwamba watu wanachungulia fursa popote. Yaani hakuna kuacha hata kazi ya Buku. Sisi wasanii wadogo tunaponea wapi? Click to expand... Binti pichan ana movie moja matata.
cocastic JF-Expert Member Nov 30, 2019 85,683 137,423 Mar 11, 2021 #3 Fursa popote, pia ni kukuza umaarufu wa muhusika na ni talent yake.
Mpatuka JF-Expert Member Nov 15, 2015 1,717 2,500 Mar 11, 2021 #4 Ni Hemedy PhD pekee aliyeweza kutumikia mabwana wawili kipind fulani ingawa kwasasa amepwaya kiasi fulani.
Ni Hemedy PhD pekee aliyeweza kutumikia mabwana wawili kipind fulani ingawa kwasasa amepwaya kiasi fulani.
Mavipunda JF-Expert Member Jun 27, 2012 6,916 7,520 Mar 11, 2021 #5 juzi nilimuona shehe Kipozeo kwenye series flani dstv..nikajua njaa mbaya