Tamthilia za Kibongo zinapoteza mvuto, waigizaji wanajirudia

SIMULIZI RIWAYA

JF-Expert Member
Feb 19, 2022
415
1,275
Hivi sasa Series za kibongo zimefanya watanzania wawe busy kusupport kazi za nyumbani. Tamthilia kama JUA KALI, PAZIA, PINI, SINGLE MOTHER, MWANAMZIKI KITASA n.k Zinafatiliwa sana.

Inafaa kabisa kukubali kuwa Series zimeweza kurudisha heshima ya bongo movie kama hapo awali, PONGEZI KUBWA ZIWAENDEE DSTV, STAR TIMES NA AZAM.
Tatizo kubwa ni moja, unakuta msanii mmoja anaigiza kwenye Tamthilia zaidi ya tatu na zote zinaruka muda mmoja, tena mbaya zaidi unaweza kukuta Uhusika anaocheza katika Tamthilia moja ndio huo huo anacheza katika Tamthiliya nyingine.

Au mbaya zaidi unakuta hii anacheza kama
mwalimu, nyingine kama Daktari, nyingine
kama Slay Queen yani mpaka kero kutazama, mara tamthilia hii Kafariki then siku hiyo hiyo unamuona yuko hai anaigiza tamthilia nyingine.

Ni vituko hivi, je tatizo huwa ni nini mpaka
haya yanatokea? ni kwamba Tanzania hakuna vipaji kwahiyo wanatumiana hao hao? Au hao ndio wamiliki wa Bongo movie hivyo hawatakiwi watu wapya kwenye tasnia?

NAJIULIZA SANA, HIVI HAWA WASANII
WANAOIGIZA TAMTHILIA ZAIDI YA MBILI
HIVI HUWA WANAPATA HATA MUDA WA
KUSOMA SCRIPT? REHEARSAL WANAFANYA KWELI?

TAJA MSANII AMBAYE UNAMUONA KWENYE SERIES ZAIDI YA MOJA.
 
Script mbovu, waigizaji wabovu, production inaning'inia juu ya dari. Hapo huwezi kupata Tamthilia inayoeleweka.Period!
 
Hivi sasa Series za kibongo zimefanya watanzania wawe busy kusupport kazi za nyumbani. Tamthilia kama JUA KALI, PAZIA, PINI, SINGLE MOTHER, MWANAMZIKI KITASA n.k Zinafatiliwa sana.

Inafaa kabisa kukubali kuwa Series zimeweza kurudisha heshima ya bongo movie kama hapo awali, PONGEZI KUBWA ZIWAENDEE DSTV, STAR TIMES NA AZAM.
Tatizo kubwa ni moja, unakuta msanii mmoja anaigiza kwenye Tamthilia zaidi ya tatu na zote zinaruka muda mmoja, tena mbaya zaidi unaweza kukuta Uhusika anaocheza katika Tamthilia moja ndio huo huo anacheza katika Tamthiliya nyingine.

Au mbaya zaidi unakuta hii anacheza kama
mwalimu, nyingine kama Daktari, nyingine
kama Slay Queen yani mpaka kero kutazama, mara tamthilia hii Kafariki then siku hiyo hiyo unamuona yuko hai anaigiza tamthilia nyingine.

Ni vituko hivi, je tatizo huwa ni nini mpaka
haya yanatokea? ni kwamba Tanzania hakuna vipaji kwahiyo wanatumiana hao hao? Au hao ndio wamiliki wa Bongo movie hivyo hawatakiwi watu wapya kwenye tasnia?

NAJIULIZA SANA, HIVI HAWA WASANII
WANAOIGIZA TAMTHILIA ZAIDI YA MBILI
HIVI HUWA WANAPATA HATA MUDA WA
KUSOMA SCRIPT? REHEARSAL WANAFANYA KWELI?

TAJA MSANII AMBAYE UNAMUONA KWENYE SERIES ZAIDI YA MOJA.
🤣🤣🤣🤣🤣kafaaa saaa moja maraaa paaaaaap saaa mbili uyu hapaaaaa
 
Kiukwel mimi si mpenzi wala sijawah kuwa mdau wa bongo movie ila kuna huyu chizi siku hiz anaitwa MKOJANI aisee huyu jamaa juzi kati nikiwa safarin kwenye basi waliweka clip/movie yake alooh nilicheka mpaka machozi yalinitoka.
 
Back
Top Bottom